Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Nini kujinyea wengine hata hatujui kama kuna duniaDu ni kitambo sana,kipindi hicho kuna watu humu kujinyea ni jambo la kawaida
Alikuwa nayo Babu yangu....... Ile ni ngumu hatari! [emoji23]Hahaaa bora yenu chogo ilikua new model enzi hizo, sie tulikua na ile inayofanana na microwave na tulionekana wa kishua balaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru Mungu yupo hai, ni mtu wa mazoezi sana na anampenda Mwalimu na Magufuli, anasema maisha yalikuwa zamani shuleni walikulaga mikate bure.
Mimi wakat huo hata sijazaliwawewe ni miongoni mwa wachache wenye bahati sana,1989 nyumbani kuna tv?????
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa darasa la 6 siku hiyo nikarudi nyumbani baba alikuwa Dar, jioni tukasikia honi ya gari nje ya nyumba tukatoka kumpokea, siku hiyo akasema tusiguse chochote tukae mbali akashusha box kubwa 1, box la saizi yakati 1 na box kubwa zaidi 1, badae akanipa mfuko wa Rambo ambao ulikuwa na waya mrefu nikataka kuingia nao ndani akasema nikae nao pale nje, basi bwana lile box kubwa kabisa likafunguliwa lilikuwa na jenereta akaliweka nje, (hapo hata hatujasalimiana vizuri na kujuliana hali) akaweka petrol lita 10 iliyokuwa kwenye dumu jeupe, akaweka na oil ilikuwa kwenye kichupa fulani hivi, akachukua ule waya mrefu akaufungua mpaka ndani.
Kule ndani alitwambia tukae mbali tusiguse chochote, akaniambia niangalie kwenye buti kuna box nililete haraka sana, nikatoa box halikuwa zito nikalipeleka akatoa ka kitabu na vimbao na ma tairi akasoma kidogo kijitabu kisha akaunganisha vijimbao na matairi si ikatokea stand, daah tuliona mzee ni mtaalamu sana akaijaribisha pale kuiendesha nikataka namimi niisukume kidogo nikala kofi la shingo, siku mind maana nilikuwa interested kujua kitakacho fuata.
Basi bwana juu kabisa ya ile stand aliweka dubwasha kubwa lililokuwa kwenye box na lilikuwa na kioo na lina chogo, kwakuwa sikuwahi kuliona kabisa maishani sikujua ni nini, nilihisi ni kama redio hivi, pale katikati akaweka kudude flani kama redio ila chenyewe ni kidogo, akaunganisha kila kitu akatoka nje akawasha jenereta (jenereta sikulishangaa maana tulikuwa na jingine dogo kwaajili ya taa na redio siku moja moja akifurahi.
Alivyowasha akachomeka ule waya akawasha swichi kule ndani taa ikawaka kwenye extension flani hivi ya duara, akaingia huku anapiga mruzi, akatoa kasha juu lina picha ya wanyama halafu ndani ya kasha akatoa dude kama kanda ya tape ila lenyewe kubwa akasema huu ni mkanda sawa? tukasema sawa akatwambia hii ni deki na hii ni SCREEN hakusema TV alisema SCREEN sasa nikamuuliza screen kazi yake nini? akasema ngoja uone.
Akawasha akachukua remote akaset tukaanza kuona wanyama, palepale nikatoka mbio hadi nyumba yapili nikawaambia wanaitwa home wakaja familia nzima, haikutosha nikavuka nyumba kadhaa nikaenda kwa mwalimu Stive nikamwambia anaitwa nyumbani, nilienda kwa mwalimu Stive maana alikuwa anachapa sana ukichelewa namba sasa kufuta hilo nilimwalika na chaajabu walivyokuja walivutiwa sana, sikuhiyo tulikaa nao mpaka sa 7 baba akawaambia tutaendelea kesho.
Kesho yake mwalimu alinipitia na baiskeli tukaenda nae shule kiroho safi na baada ya kurudi alikuja home tukala baba alivyorudi akaenda chumbani akaileta tukaangalia, baada ya siku chache watu walikuwa wanajaa sana akawa anaitoa nje na kila siku tulikuwa tunaangalia mkanda uleule wa wanyama.
Miezi michache badaye akanunua UNGO (Dish kubwa sana la nyavu, nikubwa kweli kweli) akaja na fundi toka dar kuufunga na akazungushia fensi ya senyenge pale kwenye ungo.
Alinunua pia antena ya samaki
Ratiba ya matumizi:
Baba akisafiri hakuna kuangalia
Hakuna mtu anayeruhusiwa kugusa chochote isipokuwa kwa ruhusa yake
Ukipiga kelele au kujifanya unajua zaidi ni tiketi ya kwenda kwenu
Kwenye msiba wa Mwalimu TV yetu ilipelekwa uwanjani watu wa vijiji kadhaa wakajumuika nasi kufuatilia msiba ule na kulikuwa na bonge la nguzo lilisimikwa kwaajili ya kufunga antena.
NASIKITIKA KWAKUWA SASA ILE TV HATA KUIMILIKI NI AIBU ILA BADO NI NZIMA HADI LEO, DEKI ILIKUFA, JENERETA IPO LAKINI UMEME UPO PIA.
Enzi zile TV ilinisaidia kuwa na watoto wazuri japo tulifanya kitoto ila walikuwa madem zangu.
sasa nikamuuliza screen kazi yake nini?
Dodoma hiyo mkuu, ninge mind kupigwa kofi si ningefukuzwa sebuleni, ningeamrishwa nikalaleHapo hukuogopa kupigwa kofi???, Ni mkoa gani ilikuwa,, kagera???π€£π€£
Kweli mambo enzi hizo zilikuwa mbombo ngafuHahahahaa!! We Mtani Mtani. LOL
Mtani kipindi hicho π π huko kwetu TA ndanindani hata umeme ulikuwa bado haujafika.
Afadhalia nyie Mtani. πKweli mambo enzi hizo zilikuwa mbombo ngafu
Mimi nachokumbuka baada umeme kuingia home tulikuwa tunagombania kuwasha taa na kuzima
Ikabidi tupangiwe zamu
Afu acha masihara ujue, 89 wazazi walikua wanaazimisha anniversary ya 20 yrs of marriage and I'm their firstborn so jiulize nilikua na umri gani[emoji3][emoji3]. Watu tumekula chumvi mkuuHahaha
Najua ulikuwa hutarajiwi kuja katika ulimwengu huu.
Watoto wa miaka ya 2000 mmekuta kila kitu shwari.
Enzi zetu mambo yalikuwa ni mbombo ngafu [emoji14] [emoji14]
Karma pita uku pia
Huu Uzi umenichekesha sana dah,Nilikuwa darasa la 6 siku hiyo nikarudi nyumbani baba alikuwa Dar, jioni tukasikia honi ya gari nje ya nyumba tukatoka kumpokea, siku hiyo akasema tusiguse chochote tukae mbali akashusha box kubwa 1, box la saizi yakati 1 na box kubwa zaidi 1, badae akanipa mfuko wa Rambo ambao ulikuwa na waya mrefu nikataka kuingia nao ndani akasema nikae nao pale nje, basi bwana lile box kubwa kabisa likafunguliwa lilikuwa na jenereta akaliweka nje, (hapo hata hatujasalimiana vizuri na kujuliana hali) akaweka petrol lita 10 iliyokuwa kwenye dumu jeupe, akaweka na oil ilikuwa kwenye kichupa fulani hivi, akachukua ule waya mrefu akaufungua mpaka ndani.
Kule ndani alitwambia tukae mbali tusiguse chochote, akaniambia niangalie kwenye buti kuna box nililete haraka sana, nikatoa box halikuwa zito nikalipeleka akatoa ka kitabu na vimbao na ma tairi akasoma kidogo kijitabu kisha akaunganisha vijimbao na matairi si ikatokea stand, daah tuliona mzee ni mtaalamu sana akaijaribisha pale kuiendesha nikataka namimi niisukume kidogo nikala kofi la shingo, siku mind maana nilikuwa interested kujua kitakacho fuata.
Basi bwana juu kabisa ya ile stand aliweka dubwasha kubwa lililokuwa kwenye box na lilikuwa na kioo na lina chogo, kwakuwa sikuwahi kuliona kabisa maishani sikujua ni nini, nilihisi ni kama redio hivi, pale katikati akaweka kudude flani kama redio ila chenyewe ni kidogo, akaunganisha kila kitu akatoka nje akawasha jenereta (jenereta sikulishangaa maana tulikuwa na jingine dogo kwaajili ya taa na redio siku moja moja akifurahi.
Alivyowasha akachomeka ule waya akawasha swichi kule ndani taa ikawaka kwenye extension flani hivi ya duara, akaingia huku anapiga mruzi, akatoa kasha juu lina picha ya wanyama halafu ndani ya kasha akatoa dude kama kanda ya tape ila lenyewe kubwa akasema huu ni mkanda sawa? tukasema sawa akatwambia hii ni deki na hii ni SCREEN hakusema TV alisema SCREEN sasa nikamuuliza screen kazi yake nini? akasema ngoja uone.
Akawasha akachukua remote akaset tukaanza kuona wanyama, palepale nikatoka mbio hadi nyumba yapili nikawaambia wanaitwa home wakaja familia nzima, haikutosha nikavuka nyumba kadhaa nikaenda kwa mwalimu Stive nikamwambia anaitwa nyumbani, nilienda kwa mwalimu Stive maana alikuwa anachapa sana ukichelewa namba sasa kufuta hilo nilimwalika na chaajabu walivyokuja walivutiwa sana, sikuhiyo tulikaa nao mpaka sa 7 baba akawaambia tutaendelea kesho.
Kesho yake mwalimu alinipitia na baiskeli tukaenda nae shule kiroho safi na baada ya kurudi alikuja home tukala baba alivyorudi akaenda chumbani akaileta tukaangalia, baada ya siku chache watu walikuwa wanajaa sana akawa anaitoa nje na kila siku tulikuwa tunaangalia mkanda uleule wa wanyama.
Miezi michache badaye akanunua UNGO (Dish kubwa sana la nyavu, nikubwa kweli kweli) akaja na fundi toka dar kuufunga na akazungushia fensi ya senyenge pale kwenye ungo.
Alinunua pia antena ya samaki
Ratiba ya matumizi:
Baba akisafiri hakuna kuangalia
Hakuna mtu anayeruhusiwa kugusa chochote isipokuwa kwa ruhusa yake
Ukipiga kelele au kujifanya unajua zaidi ni tiketi ya kwenda kwenu
Kwenye msiba wa Mwalimu TV yetu ilipelekwa uwanjani watu wa vijiji kadhaa wakajumuika nasi kufuatilia msiba ule na kulikuwa na bonge la nguzo lilisimikwa kwaajili ya kufunga antena.
NASIKITIKA KWAKUWA SASA ILE TV HATA KUIMILIKI NI AIBU ILA BADO NI NZIMA HADI LEO, DEKI ILIKUFA, JENERETA IPO LAKINI UMEME UPO PIA.
Enzi zile TV ilinisaidia kuwa na watoto wazuri japo tulifanya kitoto ila walikuwa madem zangu.
Watu tumekula chumvi mkuu
Duh umenikumbusha mbali sana....nyie mlikuwa wa kishua sana....miaka hiyo mi nakumbuka mzee wangu (RIP) alikuwa anarudi na ile mashine ya picha za mgando kama projector flani alikuwa anaiazima ofisini kwao....lakini alikuwa mkali sana...yaani mtu haruhusiwi kuisogelea ....kwa hiyo akipress inatokea picha ukutani mara picha ya mnyama amesimama , mara mgambo anaruka,mara mtu kapanda farasi..hapo tunakuwa tumetulia kimya sana na madirisha yamefungwa..kila picha ikitokea anasubiri kama dk 3 halafu anauliza tayari nitoe?..nakumbuka watu wallikuwa wanajaa kichizi home wakishajua mshua amerudi na alikuwa anaifungia chumbani kwake...baada ya muda wa siku kadhaa alikuwa anairudisha ofisini kwake aliko i azima....hapo tulikuwa tuna mind kichizi.....kipindi hicho nakumbuka ukitaka kuona video chogo lazima uende ukumbi wa CCM na ilikuwa lazima ulipie...hapo ndipo palikuwa pagumu....zamani raha sanaNilikuwa darasa la 6 siku hiyo nikarudi nyumbani baba alikuwa Dar, jioni tukasikia honi ya gari nje ya nyumba tukatoka kumpokea, siku hiyo akasema tusiguse chochote tukae mbali akashusha box kubwa 1, box la saizi yakati 1 na box kubwa zaidi 1, badae akanipa mfuko wa Rambo ambao ulikuwa na waya mrefu nikataka kuingia nao ndani akasema nikae nao pale nje, basi bwana lile box kubwa kabisa likafunguliwa lilikuwa na jenereta akaliweka nje, (hapo hata hatujasalimiana vizuri na kujuliana hali) akaweka petrol lita 10 iliyokuwa kwenye dumu jeupe, akaweka na oil ilikuwa kwenye kichupa fulani hivi, akachukua ule waya mrefu akaufungua mpaka ndani.
Kule ndani alitwambia tukae mbali tusiguse chochote, akaniambia niangalie kwenye buti kuna box nililete haraka sana, nikatoa box halikuwa zito nikalipeleka akatoa ka kitabu na vimbao na ma tairi akasoma kidogo kijitabu kisha akaunganisha vijimbao na matairi si ikatokea stand, daah tuliona mzee ni mtaalamu sana akaijaribisha pale kuiendesha nikataka namimi niisukume kidogo nikala kofi la shingo, siku mind maana nilikuwa interested kujua kitakacho fuata.
Basi bwana juu kabisa ya ile stand aliweka dubwasha kubwa lililokuwa kwenye box na lilikuwa na kioo na lina chogo, kwakuwa sikuwahi kuliona kabisa maishani sikujua ni nini, nilihisi ni kama redio hivi, pale katikati akaweka kudude flani kama redio ila chenyewe ni kidogo, akaunganisha kila kitu akatoka nje akawasha jenereta (jenereta sikulishangaa maana tulikuwa na jingine dogo kwaajili ya taa na redio siku moja moja akifurahi.
Alivyowasha akachomeka ule waya akawasha swichi kule ndani taa ikawaka kwenye extension flani hivi ya duara, akaingia huku anapiga mruzi, akatoa kasha juu lina picha ya wanyama halafu ndani ya kasha akatoa dude kama kanda ya tape ila lenyewe kubwa akasema huu ni mkanda sawa? tukasema sawa akatwambia hii ni deki na hii ni SCREEN hakusema TV alisema SCREEN sasa nikamuuliza screen kazi yake nini? akasema ngoja uone.
Akawasha akachukua remote akaset tukaanza kuona wanyama, palepale nikatoka mbio hadi nyumba yapili nikawaambia wanaitwa home wakaja familia nzima, haikutosha nikavuka nyumba kadhaa nikaenda kwa mwalimu Stive nikamwambia anaitwa nyumbani, nilienda kwa mwalimu Stive maana alikuwa anachapa sana ukichelewa namba sasa kufuta hilo nilimwalika na chaajabu walivyokuja walivutiwa sana, sikuhiyo tulikaa nao mpaka sa 7 baba akawaambia tutaendelea kesho.
Kesho yake mwalimu alinipitia na baiskeli tukaenda nae shule kiroho safi na baada ya kurudi alikuja home tukala baba alivyorudi akaenda chumbani akaileta tukaangalia, baada ya siku chache watu walikuwa wanajaa sana akawa anaitoa nje na kila siku tulikuwa tunaangalia mkanda uleule wa wanyama.
Miezi michache badaye akanunua UNGO (Dish kubwa sana la nyavu, nikubwa kweli kweli) akaja na fundi toka dar kuufunga na akazungushia fensi ya senyenge pale kwenye ungo.
Alinunua pia antena ya samaki
Ratiba ya matumizi:
Baba akisafiri hakuna kuangalia
Hakuna mtu anayeruhusiwa kugusa chochote isipokuwa kwa ruhusa yake
Ukipiga kelele au kujifanya unajua zaidi ni tiketi ya kwenda kwenu
Kwenye msiba wa Mwalimu TV yetu ilipelekwa uwanjani watu wa vijiji kadhaa wakajumuika nasi kufuatilia msiba ule na kulikuwa na bonge la nguzo lilisimikwa kwaajili ya kufunga antena.
NASIKITIKA KWAKUWA SASA ILE TV HATA KUIMILIKI NI AIBU ILA BADO NI NZIMA HADI LEO, DEKI ILIKUFA, JENERETA IPO LAKINI UMEME UPO PIA.
Enzi zile TV ilinisaidia kuwa na watoto wazuri japo tulifanya kitoto ila walikuwa madem zangu.
Watu tumekunywa maji sembuse chumvi !!![emoji1787]
Wewe je unayo mingapi?Hahha nimesoma mwanzo tu nimeanza kucheka, ngoja nimalizie. Mkuu kwa sasa una miaka arobaini na ngapi?
Wewe je unayo mingapi?