Sitasahau tulivyonunua TV na deki mwaka 1989, hakuna kuigusa na inalala chumbani

Kwa hizi comments ninazoziona humu kwenye huu uzi basi kwaJF nahisi mwenye umri mdogo kias ni mimi aise.1989 hata kujinyea sijaanza sijui hata nlikua wapi.
 
TV ilinunuliwa home mwaka 87. Movie ya kwanza kuiona ni Samson na delilah. Mshua likuwa na kazi ya kututafsiria ila uzuri nilikuwa na background ya hiyo story ya Bible. Mtaani walikoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…