Tunachohitaji tujue nani mwenye haki, msituzuie uto kushtaki uhuni wenu fifa na caf, makolo na tff mkishinda kesi tutacheza derby na kuwakanda makolo fifth time. Ila kwasasa mechi haipo msitulazimishe ujinga wenu, Ngoma bado mbichi haturudi nyuma hadi kieleweke Yanga si timu ya kihuni kama nyie makoloSalary Slip rudi kwenye siasa mzee huku naona kama uko empty.
Hao CAS na FIFA siyo mamlaka zinazokurupuka tu kuingilia mambo ya ndani ya FA flani ni tofauti na huko kwenye siasa zenu
Mnasubiri nini kuzisambaza hizo video au kuzipeleka CAS na FIFA?Kamanda huku sio kama kwa CCM kwa chadema utapoteza heshima yako bure
Hao CAS na FIFA wakija watapokelewa na ma file yenye video za watu kujidunga masindano
Hao unaowaona wanataka haki wana kando za kutosha mzee
Kuna kanuni ya kuahirisha mchezo kisa timu imenyimwa kufanya mazoezi? Una akili timamu?FIFA na CAS hawana muda wa kipumbavu namna hiyo,kanuni zilifuatwa game ikaahirishwa Kwisha kazi.
Kanuni ipi iliyofuatwa? Hakuna kanuni inayoitwa busara. Kama ulisoma repoti ya bodi, utakua umenielewaFIFA na CAS hawana muda wa kipumbavu namna hiyo,kanuni zilifuatwa game ikaahirishwa Kwisha kazi.
Muda utaongea. Si mnajitoa akili na nyie ni watu wazima? Kama mnadhani ni utani, awamu hii mmelikorogaFifa na Cas hawana muda huo wa kupoteza kuchunguza na ripoti ya bodi ya ligi ipo sasa wachunguze nini?
Kwaakili zenu kabisa mnaamini Fifa waache kuamini bodi ya ligi ya Tanzania na TFF yenye weledi na viongozi bora badala yake iamini klabu yenye kesi lukuki huko Fifa za kutaka kudhulumu wachezaji haki zao karibia kila mwaka na kesi mpya si chini ya 6
Yanga na viongozi wake ni watu wasiojua sheria kabisa lakini ni ajabu kila wakiguswa hukimbilia sheria matokeo yake hudhalilika kila mara.
Imekuwa kawaida sasa kila mwaka lazima kuwe na kesi angalau mbili za Yanga za kuchekesha na watakazoishia kushindwa tu na kudhalilika
Yanga acheni kupoteza gharama zenu na muda Fifa haiwezi kusikiliza matapeli kuweni watiifu kwa bodi msubiri tar ya mchezo na kama mnabisha tupo hapa tutakumbushana
Wala hatuchukulii utani ila mnachekesha maana tunajua FIFA hampati kitu mtapoteza muda wenu tu na visenti vyenu na wanasheria wenu wale vihiyoMuda utaongea. Si mnajitoa akili na nyie ni watu wazima? Kama mnadhani ni utani, awamu hii mmelikoroga
Tukienda huko tunaweza kufungiwa,kwani duniani hamna timu iliyosusia mechi kisa wamenyimwa kufanya mazoezi kabla ya mechi ,kwani CAF na FIFA watatushangaa na kutuona wa ajabu kweli. Tutapigwa bani na kuwa wa humu humu ndani.Kwa kutumia tu akili ya kawaida, ni wazi kuahirishwa kwa hii, mechi sio jambo lililozuka tu, bali kuna uwezekano mkubwa lilikuwa ni tukio la kupangwa na ndio maana Simba wakagoma kisha baadae Bodi ya Ligi nao wakaja na uamuzi wa kuahirisha mechi(mpango mkakati).
Kwa msingi huo, FIFA au CAS watahitaji kuchunguza kwanza ili waweze kutoa uamuzi na hii ni kwasababu Bodi ya Ligi teyari imejiingiza katika huu mgogoro, vinginevyo lilikuwa ni jambo rahisi tu la kuangalia kanuni zinasemaje na kutoa uamuzi.
Maamuizi ya Bodi kuahirisha hii mechi sio tu yatafanya iwe ni vigumu kwa FIFA au CAS kutoa uamuzi, bali watahitaji kujua ni kwanini Bodi ya Ligi walifanya blunder kama ile.
Wanaostahili kuchunguzwa/kuhojiwaa
1.Uongozi wa Club ya Simba
2, Viongozi wa Bodi ya Ligi
3. Meneja wa uwanja
4. Walinzi wanaodaiwa kuwazuia Simba kuingia uwanjani
5.Viongozi wa club ya Yanga(watahojiwa kama mashahidi).
Adhabu inaweza kwenda kwa Simba pamoja na Bodi ya Ligi.
Nimemaliza.
Pumbaf kabisaKwa kutumia tu akili ya kawaida, ni wazi kuahirishwa kwa hii, mechi sio jambo lililozuka tu, bali kuna uwezekano mkubwa lilikuwa ni tukio la kupangwa na ndio maana Simba wakagoma kisha baadae Bodi ya Ligi nao wakaja na uamuzi wa kuahirisha mechi(mpango mkakati).
Kwa msingi huo, FIFA au CAS watahitaji kuchunguza kwanza ili waweze kutoa uamuzi na hii ni kwasababu Bodi ya Ligi teyari imejiingiza katika huu mgogoro, vinginevyo lilikuwa ni jambo rahisi tu la kuangalia kanuni zinasemaje na kutoa uamuzi.
Maamuizi ya Bodi kuahirisha hii mechi sio tu yatafanya iwe ni vigumu kwa FIFA au CAS kutoa uamuzi, bali watahitaji kujua ni kwanini Bodi ya Ligi walifanya blunder kama ile.
Wanaostahili kuchunguzwa/kuhojiwaa
1.Uongozi wa Club ya Simba
2, Viongozi wa Bodi ya Ligi
3. Meneja wa uwanja
4. Walinzi wanaodaiwa kuwazuia Simba kuingia uwanjani
5.Viongozi wa club ya Yanga(watahojiwa kama mashahidi).
Adhabu inaweza kwenda kwa Simba pamoja na Bodi ya Ligi.
Nimemaliza.
Msio na akili mnapongezana kwa kuambiana mna akili. Kweli Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu.Una akili sana
Kati ya Simba na Yanga yupi unayedhani anaenda kuibadili hii ligi kutokana na tukio hili? Hili vumbi likishaisha mambo manne yatatokea:You have to learn to claim what is yours pale haki yako ikikiukwa haijalishi kama utaipewa au la Kwa maana unapodai haki yako unatuma ujumbe kuwa umejua kuwa umeonewa na siku ingine hawatarudia kosa hilo. Kukaa kimya kwa kuonewa ni kuruhusu kuonewa milele, fundisha wanao kudai haki zao kuanzia kwako ili wakadai huko nje pia.
Kwa akili yako unadhani Yanga watanyimwa tena goli kama la Aziz Ki ikiokea tena kwa jinsi Afrika nzima ilivyojadili lile goli?
Yanga wana haki kudai points 3 na goli 3 kwa Simba kukimbia mechi ili iwe fundisho kwa wahuni wa kolowizard na tff kuichezea Yanga na tff wakishindwa kutoa haki caf na fifa watahusika ili tujue nani mwenye haki, makolo mkishinda kesi uto tutacheza derby ila somo litakuwa limewaingia TFF na makolo kuwa Yanga Iko serious na ligi na sio kutuletea uhuni wenu makolo
Nyuma mwiko mna dunia yenu asee,sio kwa wendawazimu huuKwa kutumia tu akili ya kawaida, ni wazi kuahirishwa kwa hii, mechi sio jambo lililozuka tu, bali kuna uwezekano mkubwa lilikuwa ni tukio la kupangwa na ndio maana Simba wakagoma kisha baadae Bodi ya Ligi nao wakaja na uamuzi wa kuahirisha mechi(mpango mkakati).
Kwa msingi huo, FIFA au CAS watahitaji kuchunguza kwanza ili waweze kutoa uamuzi na hii ni kwasababu Bodi ya Ligi teyari imejiingiza katika huu mgogoro, vinginevyo lilikuwa ni jambo rahisi tu la kuangalia kanuni zinasemaje na kutoa uamuzi.
Maamuizi ya Bodi kuahirisha hii mechi sio tu yatafanya iwe ni vigumu kwa FIFA au CAS kutoa uamuzi, bali watahitaji kujua ni kwanini Bodi ya Ligi walifanya blunder kama ile.
Wanaostahili kuchunguzwa/kuhojiwaa
1.Uongozi wa Club ya Simba
2, Viongozi wa Bodi ya Ligi
3. Meneja wa uwanja
4. Walinzi wanaodaiwa kuwazuia Simba kuingia uwanjani
5.Viongozi wa club ya Yanga(watahojiwa kama mashahidi).
Adhabu inaweza kwenda kwa Simba pamoja na Bodi ya Ligi.
Nimemaliza.
Ukute huwa ni dili? Kesi zina bajeti shekhee.Wala hatuchukulii utani ila mnachekesha maana tunajua FIFA hampati kitu mtapoteza muda wenu tu na visenti vyenu na wanasheria wenu wale vihiyo
Nadhani Yanga bado hamna viongozi wanaojua mifumo ya mpira duniani inaendaje
Yaani ukaishtaki TFF na Bodi ya ligi FIFA ushinde kesi πππ
Mechi iliahirishwa. Kama FA wamefuta mechi, utapewa point ya mechi gani sasa? Uzuri mwanasheria wa Yanga ameshakiri kuwa waliizuia Simba kwa kuwa nao walizuiliwaKanuni Gani ilifuatwa?
KwaniKuna kanuni ya kuahirisha mchezo kisa timu imenyimwa kufanya mazoezi? Una akili timamu?
Wasio na akili ni mbumbumbu wa Rage walikimbia mechiMsio na akili mnapongezana kwa kuambiana mna akili. Kweli Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu.
Kati ya Simba na Yanga yupi unayedhani anaenda kuibadili hii ligi kutokana na tukio hili? Hili vumbi likishaisha mambo manne yatatokea:
Sasa hapo niambie, kati ya Simba na Yanga, nani ambaye atakuwa amesaidia kuibadili na kuiboresha ligi ya Tanzania?
- Haitawezekana tena timu kutumia milango isiyo rasmi. Adhabu yake hamtaweza tena kuihimili.
- Mabausa wasiotambulika hawataruhusiwa kulinda viwanja kabla ya mechi.
- Timu zitaruhusiwa kufanya mazoezi viwanjani kwa jinsi kanuni inavyoruhusu. Adhabu ya kuizuia timu kufanya mazoezi itakuwa kali sana.
- Viashiria vyote vya ushirikina vinaenda kuwa na adhabu kali ambayo sidhani kama mtaweza kuzihimili.
Shida yenu mnasoma kama gazet,hakuna neno busara pale.Kanuni ipi iliyofuatwa? Hakuna kanuni inayoitwa busara. Kama ulisoma repoti ya bodi, utakua umenielewa
Kama havikubaliki ni jukumu la mabaunsa wenu kuzuia? au kuwaacha wafanye hivyo vitendo vya kishirikina kisha waadhibiwe kwa faini na bodi ya ligi nyinyi mkiendelea na mchezo husikaBinafsi nitakuwa mtu wa nwisho kuamini eti sababu ya simba kususia mechi, na pia bodi ya ligi kuwaunga mkono; ilikuwa ni kuzuiliwa kuingia uwanjani na makomandoo wa Yanga!
Tena wakifika uwanjani bila ya kutoa taarifa kwa mtu yeyote yule! Eti tu kwa sababu ni haki yao kufanya mazoezi hapo uwanjani, siku moja kabla ya mechi!!
Hapa kulikuwa kuna sababu mbili za msingi! Kutengeneza tukio la kuonesha wamezuiliwa ili wasusie mechi, au kutaka kuingia ili kufanya vitendo vya kishirikina, na ambavyo havikubaliki kwenye mpira wa miguu! Full stop.