Sitashangaa kuona Mzee Rugemalila akiteuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi katika mojawapo ya taasisi zetu

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Kama sheria inaruhusu, na kama mzee huyu ana sifa na vigezo vinavyotakiwa, basi stashangaa kuona akiteuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi wa mojawapo ya taasisi zetu hapa nchini.

Lakini kwakuwa hata utawala wa sheria hauzingatiwi, bado tu anaweza kulamba uteuzi hata kama sifa hana.

Hivi ndivyo wenzetu wanavyotasfiri msemo wa kila zama na kitabu chake.
 
Kama sheria inaruhusu na kama mzee huyu ana sifa na vigezo vinavyotakiwa, basi stashangaa kuona akiteuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi wa mojawapo ya taasisi zetu hapa nchini.

Lakini kwakuwa hata utawala wa sheria hauzingatiwi bado tu anaweza kulamba uteuzi hata kama sifa hana.

Hivi ndivyo wenzetu wanavyotasfiri msemo wa kila zama na kitabu chake.
It is no wonder to see him paying a courtesy visit to Ikulu..... muda utatupa jibu!
 
Mupe........Muruke......
Mawee.....Iwee.....
 
Kama sheria inaruhusu, na kama mzee huyu ana sifa na vigezo vinavyotakiwa, basi stashangaa kuona akiteuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi wa mojawapo ya taasisi zetu hapa nchini.

Lakini kwakuwa hata utawala wa sheria hauzingatiwi, bado tu anaweza kulamba uteuzi hata kama sifa hana.

Hivi ndivyo wenzetu wanavyotasfiri msemo wa kila zama na kitabu chake.
Bila shaka,Mtanikumbuka!!
 
Sijui nini kifanyike ccm itoke
Nashauri siku ikaja upinzani ukashinda, wafanye yafutayo hakuna kurka mtu
  • waliohusika kipindi Cha mkapa, wote watafutwe
  • waliohusika kipindi Cha JK ,wote watafutwe
  • waliohusika kipindi Cha Jiwe, wote watafutwe
  • wanaohusika kipindi Cha mama, wote watafutwe
Hakuna kumuonea mtu huruma
 
Na picha zitapigwa na kusambazwa.
Ili kumpa mama political mileage.

Nasubiri nione 2025 ccm watachagua chama ama muungano?

Ila hii nchi maendeleo ndani ya ccm tutaendelea kuyasikia redioni.

Ccm wako tayari kuleta hata mganda ama mkongo atawale hii nchi kama walivyotuletea sasa Mzanzibari atawale watanganyika mchana kweupe.
 
Kama sheria inaruhusu, na kama mzee huyu ana sifa na vigezo vinavyotakiwa, basi stashangaa kuona akiteuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi wa mojawapo ya taasisi zetu hapa nchini.

Lakini kwakuwa hata utawala wa sheria hauzingatiwi, bado tu anaweza kulamba uteuzi hata kama sifa hana.

Hivi ndivyo wenzetu wanavyotasfiri msemo wa kila zama na kitabu chake.
Sasa cha ajabu nikipi hapo.unakumbuka viongozi wako walivyomsema Lowasa kuwa hafai na fisadi alipokuja kwao akawa msafi.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana kabisa na ngoja tuvute subra.
 
Sasa cha ajabu nikipi hapo.unakumbuka viongozi wako walivyomsema Lowasa kuwa hafai na fisadi alipokuja kwao akawa msafi.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Walisoma akili za watanzania kisha wakafanya maamuzi accordingly, na matokeo yalionyesha nini kingetokea kama tume ingekuwa huru- the end justifies the means.

Watanzania wangekuwa wanachukia ufisadi, wagombea wa CCM wasingepata hata asilimia 30 ya kura zote za uraisi.

Halafu unapaswa tujiulize ni kwanini Mwenzake aliichukia CHADEMA na viongozi wake na akaahidi kuiua ingawa kafa yeye na CHADEMA bado inadunda.

Jibu rahisi ni kuwa, chuki yake kwa CHADEMA ilitokana na kivumbi cha kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa 2015 na ndio maana alihakikisha EL anarudi CCM ingawa hata EL alipoondoka CHADEMA, bado CHADEMA imeendelea kuwa imara.
 
Back
Top Bottom