Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
It is no wonder to see him paying a courtesy visit to Ikulu..... muda utatupa jibu!Kama sheria inaruhusu na kama mzee huyu ana sifa na vigezo vinavyotakiwa, basi stashangaa kuona akiteuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi wa mojawapo ya taasisi zetu hapa nchini.
Lakini kwakuwa hata utawala wa sheria hauzingatiwi bado tu anaweza kulamba uteuzi hata kama sifa hana.
Hivi ndivyo wenzetu wanavyotasfiri msemo wa kila zama na kitabu chake.
Na picha zitapigwa na kusambazwa.It is no wonder to see him paying a courtesy visit to Ikulu..... muda utatupa jibu!
Tena kwa mbwembweNa picha zitapigwa na kusambazwa.
Bila shaka,Mtanikumbuka!!Kama sheria inaruhusu, na kama mzee huyu ana sifa na vigezo vinavyotakiwa, basi stashangaa kuona akiteuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi wa mojawapo ya taasisi zetu hapa nchini.
Lakini kwakuwa hata utawala wa sheria hauzingatiwi, bado tu anaweza kulamba uteuzi hata kama sifa hana.
Hivi ndivyo wenzetu wanavyotasfiri msemo wa kila zama na kitabu chake.
Wote ni wale wale tu.Bila shaka,Mtanikumbuka!!
Ili kumpa mama political mileage.Na picha zitapigwa na kusambazwa.
Sasa cha ajabu nikipi hapo.unakumbuka viongozi wako walivyomsema Lowasa kuwa hafai na fisadi alipokuja kwao akawa msafi.Kama sheria inaruhusu, na kama mzee huyu ana sifa na vigezo vinavyotakiwa, basi stashangaa kuona akiteuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi wa mojawapo ya taasisi zetu hapa nchini.
Lakini kwakuwa hata utawala wa sheria hauzingatiwi, bado tu anaweza kulamba uteuzi hata kama sifa hana.
Hivi ndivyo wenzetu wanavyotasfiri msemo wa kila zama na kitabu chake.
Inawezekana kabisa na ngoja tuvute subra.Kama sheria inaruhusu, na kama mzee huyu ana sifa na vigezo vinavyotakiwa, basi stashangaa kuona akiteuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi wa mojawapo ya taasisi zetu hapa nchini.
Lakini kwakuwa hata utawala wa sheria hauzingatiwi, bado tu anaweza kulamba uteuzi hata kama sifa hana.
Hivi ndivyo wenzetu wanavyotasfiri msemo wa kila zama na kitabu chake.
Walisoma akili za watanzania kisha wakafanya maamuzi accordingly, na matokeo yalionyesha nini kingetokea kama tume ingekuwa huru- the end justifies the means.Sasa cha ajabu nikipi hapo.unakumbuka viongozi wako walivyomsema Lowasa kuwa hafai na fisadi alipokuja kwao akawa msafi.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app