Sitathubutu tena kushika simu ya mwanamke

Sitathubutu tena kushika simu ya mwanamke

Halafu mimi nikisema watu waaminifu wamekuwa tunu, nabishiwa.

Papo hapo, watu wengine wanashangaa kwa nini watu wengine hawataki kusikia habari za ndoa.
kuna haja wanaooa tuwe tunawapa pole na kuwatia moyo. ile ni risk zaid ya kufanya kazi kwenye machimbo ya uranium. hasa hili la ndoa haina condom
 
kuna haja wanaooa tuwe tunawapa pole na kuwatia moyo. ile ni risk zaid ya kufanya kazi kwenye machimbo ya uranium. hasa hili la ndoa haina condom

hahaha mkuu hakuna kitu wadada wanapenda km ndoa aiseee lakn mmmmhhh
 
kuna haja wanaooa tuwe tunawapa pole na kuwatia moyo. ile ni risk zaid ya kufanya kazi kwenye machimbo ya uranium. hasa hili la ndoa haina condom

Oh yeah wanastahili pole zetu hao.

Ni ndoa chache sana [kama hata zipo] ambazo hazijaathirika na kirusi cha uchepukaji.
 
Watatuuu? Tuuuu?
Yaan wa 3 tuu umekosa usingizi? Utamkumbuka a isee lazma utarudi kwake maan uendapo...
 
Watatuuu? Tuuuu?
Yaan wa 3 tuu umekosa usingizi? Utamkumbuka a isee lazma utarudi kwake maan uendapo...

Mkuu aendapo kuna nini aiseeee nyinyi wadada kweli kazi ipo halafu hapo mtu analilia ndoa eti
 
pole sana, lakin na wewe umezd kupekua sana aisee, msamehe then mwambie hujapenda anayofanya naamin atabadilika, kama kila mmoja utamucha sasa utaacha wamgapi?
kaa na mwenzio myajenge
 
Miaka miwili! Kazi imewatenganisha! Bado unategemea uwe peke yako! Oa kabisa au acha kabisa! ! !

Halafu anza safar mpya ya kumtafuta mwingine!

Na jiangalie vizur wewe kwanza! Kwa nini ameenda mbali ndo anachepuka?
 
Mapenzi ya siku hizi ni ruksa kushikana na si kushikiana simu. Fid Q
 
Mm mwenyewe kuna mtu nataka nimchunguze maana presure yangu iko chini atleast nataka ipande pande kidogo
 
pole ila hao watatu kama wachache vile japo inauma aiseee
 
Back
Top Bottom