Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,158
- 3,808
kuna haja wanaooa tuwe tunawapa pole na kuwatia moyo. ile ni risk zaid ya kufanya kazi kwenye machimbo ya uranium. hasa hili la ndoa haina condomHalafu mimi nikisema watu waaminifu wamekuwa tunu, nabishiwa.
Papo hapo, watu wengine wanashangaa kwa nini watu wengine hawataki kusikia habari za ndoa.