Sitathubutu tena kushika simu ya mwanamke

Mkuu hao watatu walikuwa wanafanya kwa pamoja? Kama ni hivyo ni hatare ila kama kila moja kwa wakati wake idadi sio ya kutisha sana as long as unakwenda kwa ndom.
 
Nilikua nasoma article moja wanasema hiyo pia ni cheating, cos amount ya time, emotions, feelings unazotumia nao was meant kwa ur partner na sio wao

mh, sasa nitajipozaje frustrations za nyumbani, nimejitahidi singonoki nje, sasa hadi kuchat tuu mnasema tunawaibia emotions sijui na feelings?! hii too much sasa
 
Nina mpenzi ambaye tumedumu nae kwa muda wa miaka miwili tena wakati mwingine tumeishi pamoja kwa kipindi cha mwaka mmoja ila sikuwa napekua simu yake maana niliaminii ni mtu mzima anajua akitendacho.

Baadae tukatengana kutokana na majukumu ya kazi, ni miezi kama mitatu imepita hatujaonana ingawaje kipindi chote tumekuwa tukiwasiliana huku tukisaidiana mambo mbali mbali sasa ni jana nimemsurprise huyu binti huko anakoishi nilikuta yupo nyumbani akanipokea kwa bashasha akidai amenimiss huku akilaumu kwani sikumpa taarifa.

Simu yake ilikuwa imeharibika whaatsap akaniomba nimtengenezee sasa baada ya kudownload ile app nika backup data aisee nilichokutana nacho huko ni siri yangu maana usiku wangu ulikuwa mrefu wenye mawazo mengi sitawahi msahau na sitamsamehe .

Nashukuru Mungu nimepima niko vizuri yaani wanaume watatu.

seriously??!! unahshtuka wanaume watatu!!
 
Una uhakika gani kama wote hao wana mla..??
 
Nina mpenzi ambaye tumedumu nae kwa muda wa miaka miwili tena wakati mwingine tumeishi pamoja kwa kipindi cha mwaka mmoja ila sikuwa napekua simu yake maana niliaminii ni mtu mzima anajua akitendacho.

Baadae tukatengana kutokana na majukumu ya kazi, ni miezi kama mitatu imepita hatujaonana ingawaje kipindi chote tumekuwa tukiwasiliana huku tukisaidiana mambo mbali mbali sasa ni jana nimemsurprise huyu binti huko anakoishi nilikuta yupo nyumbani akanipokea kwa bashasha akidai amenimiss huku akilaumu kwani sikumpa taarifa.

Simu yake ilikuwa imeharibika whaatsap akaniomba nimtengenezee sasa baada ya kudownload ile app nika backup data aisee nilichokutana nacho huko ni siri yangu maana usiku wangu ulikuwa mrefu wenye mawazo mengi sitawahi msahau na sitamsamehe .

Nashukuru Mungu nimepima niko vizuri yaani wanaume watatu.
Weak man
 
Back
Top Bottom