mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,095
- 39,619
Kuna mtu atakuja afe [emoji3][emoji3][emoji3] unakaza kumbe wahuni wamepania kukutoa roho kweli
hapo alitakiwa akaripoti polisi sio kulala mbele.
Kuna mtu atakuja afe [emoji3][emoji3][emoji3] unakaza kumbe wahuni wamepania kukutoa roho kweli
Ilitakiwa hata uka report mahali husika siku hiyo nashangaa miaka kadhaa baadae unakuja kureport jfkwahiyo ulikimbia tu na kuendelea na safari,ukute ilikuwa interview yako ya kuchukuliwa usalama wa taifa ukafeli kwa uoga.View attachment 2078440
Habari niliisikia mkaliiPole Sana Kwa Yaliyokukuta Siku Hiyo.
Mkuu hukusikia habari yeyote siku ya mbele yake?
Wachugastan wenyewe wanaita mbishe darslam wanaita mishe.Hivi hua ni Mbishe au Mishe??(mission)
🤣🤣Sasa kikatiti mjini unalalaje porini? Halafu siku nyingine ulale juu ya mti sio chini ya mti.
Kabisa...mwanaume inawezaje kumuacha mwenzio kwenye mazingira kama hayo bila msaada? Duhh nimeshangaa sana aina ya roho ya jamaa kama story yenyewe ni ya kweliIlitakiwa hata uka report mahali husika siku hiyo nashangaa miaka kadhaa baadae unakuja kureport jf
Huyu jamaa mjinga sana. Analala chini ya mti hata fisi akija si anamla? Badala ya kulala juu ya mti analala chini. Yani angeweza kuliwa hata na siafu.
Atakuwa alichanganyikiwaHuyu jamaa mjinga sana. Analala chini ya mtu hata fisi akija si anamla? Badala ya kulala juu ya mti analala chini. Yani angeweza kuliwa hata na siafu.