Nimegunfua Watanzania wengi hawanaga msaada kwenye matatizo.
Kikatiti ni mji ungeweza kuingia kijiweni ukaulizia kituo cha polisi na hakiko mbali ungetoa taarifa hao jamaa wadhibiwe na unesema gari iliharibika au tu masela wangetia msaada lkn ukaipigania nafsi yako tu.
Hovyo sana