Sitoangalia mpira wa vilabu vya Tanzania

ketone

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2016
Posts
509
Reaction score
655
Timu za yanga na simba au azamu ukisikia vyombo vya habari vikivizungumzia utafikiri ni bonge la timu na utafikiri wanapiga bonge la mpira ila Leo nimecheki yanga ikicheza nimeona hamna kitu bora uangalie channel za wanyama... Mpira Tanzania bado Sana...
 
Yanga imecheza wapi??
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kwani ni lazima? Au umejipendekeza wewe? Usitoe povu limeze
 
huu mpira wanaocheza yanga mbona ni kama tu ule nnaouangaliaga wakicheza manchester utd bhana; au chuki tu?
 
Mm nimeacha kushabikia miaka 15 iliopita
 
Nenda kacheze wewe kama unaweza kupiga hizo pasi,
 
sasa we unataka timu ambayo uwekezaji wake hauzid Billion 1.5 icheze kama Barcelona ambayo hizo Bill. 1.5 ni mshahara wa mchezaj mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…