ketone
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 509
- 655
Timu za yanga na simba au azamu ukisikia vyombo vya habari vikivizungumzia utafikiri ni bonge la timu na utafikiri wanapiga bonge la mpira ila Leo nimecheki yanga ikicheza nimeona hamna kitu bora uangalie channel za wanyama... Mpira Tanzania bado Sana...