Kula na kunya?Nineumia sana kuona dadangu anashikwa shikwa trako na kuchezewa mbele yetu ma kaka na wazazi ukumbini kisa wanacheza mziki wa bluez,
Japo dada yetu katuheshimisha kutuletea shemela lakini binafsi nimeumia.
Yaani baada ya kula na kunya tukiwa ukumbini kuna mda kukawa hakuna shamra shamra yoyote ni mziki na milio ya bia kufunuliwa inasikika ndio mbele pale bibi na bwana harusi kipindi chao cha kuonyesha mbwembwe zao wakicheza huku wamekumbatiana ndio jamaa akawa sasa anapapasa papasa kila sehemu huku sisi ndugu na wazazi tukishughudiq .
Sitokaa nihudhurie tena harusi ya hii ni dharau kabisa.
Nineumia sana kuona dadangu anashikwa shikwa trako na kuchezewa mbele yetu ma kaka na wazazi ukumbini kisa wanacheza mziki wa bluez,
Japo dada yetu katuheshimisha kutuletea shemela lakini binafsi nimeumia.
Yaani baada ya kula na kunya tukiwa ukumbini kuna mda kukawa hakuna shamra shamra yoyote ni mziki na milio ya bia kufunuliwa inasikika ndio mbele pale bibi na bwana harusi kipindi chao cha kuonyesha mbwembwe zao wakicheza huku wamekumbatiana ndio jamaa akawa sasa anapapasa papasa kila sehemu huku sisi ndugu na wazazi tukishughudiq .
Sitokaa nihudhurie tena harusi ya hii ni dharau kabisa.
hahaHapo usiku anaenda kuikalia.
DuuuuhWanawake huwa mnaoneana wivu sana hapo ulitamani uwe unashikwa shikwa wewe.
Natamani iwe mimi.Pole sana next time watoto wako wa kike nao watafanywa hivyo hivyo na hio pia usihudhurie sherehe zao kisa unaogopa kuona watoto wako wa kike wanashikwashikwa matako ukumbuni huku wanacheza mziki na kulewa
Duh,Sitokaa nihudhurie tena harusi ya hii ni dharau kabisa.
MamboHILI NALO MKALITAZAME.