Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Simba kapata mimba, maji mji mzima
Uwe wewe yaan ushikweshikwe matako ukiwa umeshalewa mbele ya Baba yako na Kaka zako jamaa anakubambia kwa sana yaan hivyo au sio binti Komwe?Natamani iwe mimi.
😁😄😄 Huku watu wote wanajuaHapo usiku anaenda kuikalia.
Alaah 😇Hapo usiku anaenda kuikalia.
Dahh 😁Na hapo inaenda kuchapwa usiku na mchana.
Aibu gani sasa? Ielezee hio aibu vizuri maana hata mama yako alipigwa mate alipoolewa kwa hio kamuulize vizuri akupe maelekezo ya nini cha kufanya ndio maana mnapigwa Send OFF na Kitchen Party kwa sababu ya kuepuka mambo km hayonishamwambia ba mtu wangu kwenye hiyo siku yetu, ikifikia mahali pa "you may kiss the bride" asisogeze lips zake kwenye lips zangu mbele ya wazazi au hadhira, naona haya 🤭🤭
Hahaha,nishamwambia ba mtu wangu kwenye hiyo siku yetu, ikifikia mahali pa "you may kiss the bride" asisogeze lips zake kwenye lips zangu mbele ya wazazi au hadhira, naona haya 🤭🤭
siku mama angu anapigwa mate ulikuepo?, kabla hatujaendelea hebu dili na mimi pekeangu sitaki familia yangu esp wazazi wangu watajwe kwenye upuuzi tafadhariAibu gani sasa? Ielezee hio aibu vizuri maana hata mama yako alipigwa mate alipoolewa kwa hio kamuulize vizuri akupe maelekezo ya nini cha kufanya ndio maana mnapigwa Send OFF na Kitchen Party kwa sababu ya kuepuka mambo km hayo
Mleta mada anachekesha kama sio ndugu yako
Hao walikoswa hekimaNineumia sana kuona dadangu anashikwa shikwa trako na kuchezewa mbele yetu ma kaka na wazazi ukumbini kisa wanacheza mziki wa bluez. Japo dada yetu katuheshimisha kutuletea shemela lakini binafsi nimeumia.
Yaani baada ya kula na kunya tukiwa ukumbini kuna mda kukawa hakuna shamra shamra yoyote ni mziki na milio ya bia kufunuliwa inasikika ndio mbele pale bibi na bwana harusi kipindi chao cha kuonyesha mbwembwe zao wakicheza huku wamekumbatiana ndio jamaa akawa sasa anapapasa papasa kila sehemu huku sisi ndugu na wazazi tukishughudiq.
Sitokaa nihudhurie tena harusi ya hii ni dharau kabisa.
Fedheha kama fedheha hilo jamaa juaNineumia sana kuona dadangu anashikwa shikwa trako na kuchezewa mbele yetu ma kaka na wazazi ukumbini kisa wanacheza mziki wa bluez. Japo dada yetu katuheshimisha kutuletea shemela lakini binafsi nimeumia.
Yaani baada ya kula na kunya tukiwa ukumbini kuna mda kukawa hakuna shamra shamra yoyote ni mziki na milio ya bia kufunuliwa inasikika ndio mbele pale bibi na bwana harusi kipindi chao cha kuonyesha mbwembwe zao wakicheza huku wamekumbatiana ndio jamaa akawa sasa anapapasa papasa kila sehemu huku sisi ndugu na wazazi tukishughudiq.
Sitokaa nihudhurie tena harusi ya hii ni dharau kabisa.
Wengine hua wana deep kiss kabisaNineumia sana kuona dadangu anashikwa shikwa trako na kuchezewa mbele yetu ma kaka na wazazi ukumbini kisa wanacheza mziki wa bluez. Japo dada yetu katuheshimisha kutuletea shemela lakini binafsi nimeumia.
Yaani baada ya kula na kunya tukiwa ukumbini kuna mda kukawa hakuna shamra shamra yoyote ni mziki na milio ya bia kufunuliwa inasikika ndio mbele pale bibi na bwana harusi kipindi chao cha kuonyesha mbwembwe zao wakicheza huku wamekumbatiana ndio jamaa akawa sasa anapapasa papasa kila sehemu huku sisi ndugu na wazazi tukishughudiq.
Sitokaa nihudhurie tena harusi ya hii ni dharau kabisa.
Punguza ukali kisu mkuu😀Dada yako kushikwa tako na mume wake napo unaona wivu mwanaume? Basi olewa wewe
kama ni huyu nilonae hatumii kilevi na kama hatokua huyu basi nitampa wosia kila siku😄😄,, mambo ya aibu mbele ya wazazi hapan kwa kwelii asubiri tukiwa chumbani au tukiwa na marafiki wa rika letuHahaha,
Kama atakuwa ameonja kilevi atakushangaza sana siku hiyo
tatizo ni kumshika mbele ya familia !Dada yako kushikwa tako na mume wake napo unaona wivu mwanaume? Basi olewa wewe
😄😄Mleta mada anachekesha kama sio ndugu yako