Sitokaa nihudhurie tena kwenye harusi ya dada au ndugu wa karibu upande wa kike

Sitokaa nihudhurie tena kwenye harusi ya dada au ndugu wa karibu upande wa kike

Nineumia sana kuona dadangu anashikwa shikwa trako na kuchezewa mbele yetu ma kaka na wazazi ukumbini kisa wanacheza mziki wa bluez. Japo dada yetu katuheshimisha kutuletea shemela lakini binafsi nimeumia.

Yaani baada ya kula na kunywa tukiwa ukumbini kuna mda kukawa hakuna shamra shamra yoyote ni mziki na milio ya bia kufunuliwa inasikika ndio mbele pale bibi na bwana harusi kipindi chao cha kuonyesha mbwembwe zao wakicheza huku wamekumbatiana ndio jamaa akawa sasa anapapasa papasa kila sehemu huku sisi ndugu na wazazi tukishughudiq.

Sitokaa nihudhurie tena harusi ya hii ni dharau kabisa.
Arf sasa hivi hatuiti trako sema makebo ndo rahis kueleweka
 
ungepokea nafasi yake shemeji acheze na wewe

Nahapo bado shughuli za store maarufu chumbani ,shemeji yenu ni na bed cha3×5

namewaenzi wazee wetu omoro odinga na nyerere

tembeleeni makumbusho yao ,mwanaume mzima kitanda cha 6x6 ili iweje
 
Back
Top Bottom