Sitokaa nihudhurie tena kwenye harusi ya dada au ndugu wa karibu upande wa kike

nishamwambia ba mtu wangu kwenye hiyo siku yetu, ikifikia mahali pa "you may kiss the bride" asisogeze lips zake kwenye lips zangu mbele ya wazazi au hadhira, naona haya ๐Ÿคญ๐Ÿคญ
Aibu gani sasa? Ielezee hio aibu vizuri maana hata mama yako alipigwa mate alipoolewa kwa hio kamuulize vizuri akupe maelekezo ya nini cha kufanya ndio maana mnapigwa Send OFF na Kitchen Party kwa sababu ya kuepuka mambo km hayo
 
siku mama angu anapigwa mate ulikuepo?, kabla hatujaendelea hebu dili na mimi pekeangu sitaki familia yangu esp wazazi wangu watajwe kwenye upuuzi tafadhari
 
Hao walikoswa hekima
 
Fedheha kama fedheha hilo jamaa jua
 
Wengine hua wana deep kiss kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ