Sitokaa nihudhurie tena kwenye harusi ya dada au ndugu wa karibu upande wa kike

pole sana mzee ila ni haki yake hayo sasa hivi ayafanye anavyotaka🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
... hivi ulikuwa hujui kwamba zoezi zima lilikuwa KUTOA LESENI KWA JAMAA ............?
πŸ˜…
 
Kukosa hekima tuu,

Mambo ya kulishana keki kwa mdomo big no

Sjui kukiss ya ajabu ajabu big no

Kwamba niwaonyeshe wageni nni hasa ??

Waifu nampa somo mapema hata kuzungumza aongee kidogo sana na iwe ya kueleweka

Mambo ya kuanza mkanda huu, sijui saaa hii saa mbili mwisho mara kitu hiki

Kiufupi sitaki uswahili na ulimbukeni
 
Mkuu sidhani kama sherehe ilikuwa na pombe za kutosha vinginevyo sioni ni namna gani ungepata muda wa kufuatilia na kuangalia watu wanacheza namna gani.
 
kama ni huyu nilonae hatumii kilevi na kama hatokua huyu basi nitampa wosia kila sikuπŸ˜„πŸ˜„,, mambo ya aibu mbele ya wazazi hapan kwa kwelii asubiri tukiwa chumbani au tukiwa na marafiki wa rika letu
Kama hivyo sawa, asije akaku ambush na "French deep Kiss" huku anakuminyaminya makebo hadharani
 
Sasa unadhan Ile mahal n kwa ajil ya nini mkuu anaanza kuilipia Toka ukumbini kama ukumbini TU anafanya hvyo JE huko kitandani atamshika wapi

Tozen kiwango cha kawaida msidharirike
 
Kwamba mwamba siku yake Alafu mmpangie? Hamjaona wazungu
 
Kwa Dunia ya sasa ilivyo jaa mashoga hupaswi kulionea aibu hilo tukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…