Sitokaa nimuazime mtu gheto langu tena mwisho jana

Sitokaa nimuazime mtu gheto langu tena mwisho jana

goroko77

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2019
Posts
8,845
Reaction score
13,072
Jamaa yangu rafiki aliniomba geto ili aweze kuchakata mbususa demu fln ambaye pia mimi namfahamu walichonifanyia sitokaa nimuazime mtu geto langu nahisi yule manzi walifanya maksudi tu kuliloanisha godoro langu pumbafu Sana yaani mimi niwakulala kwenye sofa Kweli?

Ukiniuliza kwanini hakuna guest nitakujibu kuwa hata mimi pia huwa naazima na nakuwa msafi pindi nikipata geto la mtu.

Ila kwa huyu jamaa yangu tulikubaliana kuwa ile hela ya guest tutaenda kunywa nayo kvant kubwaa ndio maana nikamkubalia

Sent from my Infinix X650
Baadhi tu ya picha View attachment 2349782
 
Wanaume wanapungua kwa Kasi Sana Duniani, sasa ishu ndogo Kama hiyo unakuja kuifungulia thread ili tukushauri Nini?

You need to man up, badala ya kuja humu kutulalamikia, ungemwita yule jamaa yako umwambie alichofanya na demu wake sio poa ili msolve huko huko.

Wanaume huwaga hatumaindishi issues ndogo ndogo Kama hii yako.
 
Wanaume wanapungua kwa Kasi Sana Duniani,Sasa ishu ndogo Kama hiyo unakuja kuifungulia thread ili tukushauru Nini?

You need to man up, badala ya kuja humu kutulalamikia,ungemwita yule jamaa yako umwambie alichofanya na demu wake sio poa ili msolve huko huko.
Wanaumt huwaga hatumaindishi issues ndogo ndogo Kama hii yako.
Jamaa amezingua uko sahihi
 
Siyo kupungua mkuu Ni kusema ili kusud watu waheshimu geto za watu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Umeshalitoa nje kulianika, Akina mama hapo waanze kukusema kua umekojoa kitandani
 
Usipoweka mipaka utatumika tu kama TP na kutupwa. Unadhani kuna mtu ukiwa na shida atakusaidia sababu unampaga chumba bure cha kuchakata mwanamke? Mara chache. Mara nyingi ukiwa na shida hao hawanaga msaada. Mara nyingi sio mara zote.

Sasa unamuazima mtu room ambayo ww umelipa kodi na kitanda chako ambacho wewe ulinunua huku yeye hakulipi na unamuazima si kuwa anaumwa bali aburudishe mwili wake kupitia ww bure.
 
Broo nimejifunza kwa Kweli sitokaha nirudiee no ukauzu mwazo mwisho

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom