Jamaa angu rfk aliniomba geto ili aweze kuchakata mbususa demu fln ambaye pia mm namfahamu walichonifanyia sitokah nimuazime mtu geto langu nahis yule manzi walifanya maksudi tu kuliloanisha godoro langu pumbafu Sana yaani mm niwakulal kwenye sofa Kweli ?
Ukiniuliza kwanin hakuna guest nitakujibu kuwa hata mm pia huwa naazima na nakuwa msafi pindi nikipata geto la mtu
Ila kwa huyu jmaa angu tulikubaliana kuwa ile hell ya guest tutaenda kunywa nayo kvant kubwaa ndio maan nikamkubalia
Sent from my Infinix X650
Baadhi tu ya picha
View attachment 2349782