Sitokaa nimuazime mtu gheto langu tena mwisho jana

Kwa msaada zaidi weka namba ya huyo men (mwamba)kuna vitu nataka anielekeze...
 
Wavulana wa chuo bana,kesho atakuja na uzi kuwa anamiliki range huku hata hela ya lodge hana
Kak sijui dad mm siyo mfula wa chuo chuo chenywe sijawi kufikaa hkn popote nilisema m nasoma chuo hapa jamvini hata siku moja

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana tuma upya hizo picha..

#MaendeleoHayanaChama
 
Kak sijui dad mm siyo mfula wa chuo chuo chenywe sijawi kufikaa hkn popote nilisema m nasoma chuo hapa jamvini hata siku moja

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mambo ya kuazimana magheto ni mambo ya vivulana vya chuo.wanaume halisi tunaenda lodge au hotel ukikosa nenda hata gesti bubu
 
Hii nchi uhuru umepitiliza
Sijui watu wanawezaje hii.. Mie hata kwenda toilet sipendi mtu ajue, na huwa kama nikienda ugenini wanashangaa.. Wanaweza wakaka na mie wiki nzima wasione nimeingia toile.. Huduma nazifata huko mbali kabisa 😊😊😊 kwenye kunjunja ndio kabisaa huwezi jua.. Ila tupo tofauti sasa hiyo ya kuazima geto toka dunia imeumbwa sijawai aisee
 
Ni ulimbukeni unawasumbua. Mambo binafsi yanatakiwa yafanywe kimya kimya na sio kutangazia umma
 
Mambo ya kuazimana magheto ni mambo ya vivulana vya chuo.wanaume halisi tunaenda lodge au hotel ukikosa nenda hata gesti bubu
Wapi bhan sas HV unaweza zidiwa wew mm mwwenywe naazimaga siyo kwamba sijawai azima nimeazima Sana tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…