Sitokaa nimuazime mtu gheto langu tena mwisho jana

[emoji23][emoji23][emoji23] mna moyo, unaruhusu vipi takataka za watu wengine kitandani kwako unapolala siku zote aisee mimi siwez nakipenda mno kitanda changu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wee si uliona bora kunywa Kvant hela ya lodge haya sasa una kazi ya kununua shuka mpya na godoro jipya.
Kvant ya kubwa na nyama zimeniponza pumbafu Sana yaani huyu jamaa anajitaa Mr p

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hivi bado watu wanaazimana mageto kwa ajili ya kupiga mbususu zama hizi?
 
Tuma tena hio picha na wengine tuone mkuu
 
Weka kwanza picha ya godoro ili tujiridhishe.
 
The hell unaachia mtu chumba chako unacholala wau wafanyie ngono na kuacha mauchafu yao hapo?
Tatizo linaanza na wewe kuazimisha chumba watu wazima wafanye zinaa.

Wewe ndio tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…