The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,071
- 1,361
Kwema wakuu
Kuna kisa cha kweli kabisa kilichonitokea April 2023 yaani hii siku bana sitoka niisahau mpaka nife.
Ipo hivi nilikua nina kidemu changu kinasoma Ushirika Moshi mwaka wa pili sasa mimi nipo Dar aisee kila siku analalamika kuwa ame ni miss nikamuambia nakuja mama akafurahi sana.
Nikaongea na mwenzangu ofisini nikachomoka alhamis jioni nikafika moshi usiku nikamcheki bibie nipo Moshi town nina mazawadi yako kubwa ni jezi ya Simba na perfumes aliniomba ya kupima na zawadi nyingine nyingi.
Nilifika town kama saa 8 usiku nikamuambia tunaonana kesho aje sehemu panaitwa stop and shop Japan lodge kwa wakazi wa Moshi nahisi mnapajua sasa nikamtumia mtoto picha ya jezi ya Simba na perfume akapagawa akaniambia kesho ni mbali nakuja nikamuambia poa.
Basi akaja pale nikamfungulia akaingia alikua ana mchecheto wa zawadi sana pia alifurahi kuniona sasa bana ikabidi tuu nimpe zawadi zake akafurahi pale mimi nikalala na yeye akalala siku hyo sikumgusa maana kulikua kunakaribia kukucha.
Majanga Rasmi daaa!
Kesho yake mda wa saa 7 mchana ndo zoezi lilianza rasmi mtoto kumgusa hivi tayari mda saana yaani kwishney nikashangaa alafu alalikua ana hisia kali saaana.. sasa katika kufanya tendo ngoma haingii mtoto anatetemeka mapaja balaa mpaka huruma nikamuuliza nini shida hasemi anafunga macho nikajaribu kuchomeka kilio kilio juuu...
Aisee kumbe mtoto ni bikra aisee nikasema kazi ipo ikabidi niende taratibu sana zoezi mpaka saa kumi likashindikana kabisa ... ikabidi tulale ilivofika jioni tukaebda kula KB kitimoto na beer 🍺 mimi natumia yeye anakunywe juice tukamaliza pale tukarudi lodge ilipofika saa 3 usiku zoezi likaanza rasmi daaaah aisee nyieee
Daah kuja kushtuka mtuu kimya anahema kwa mbali namuamsha haamki namuita haitikia weeee kijasho chembaba kikanitoka natamani kupiga kelele sauti inaniambi weweni mwanaume tuliaa aisee mtikisa pale holaa pumzi ikawa ipo chini saaana tena sana nikaseam nimeua washa AC na fan chukua shuka anza kumpepea mtoto haamni kabisa waaaah..
Nikamlaza vizuri nikamfunika nikasema hapa nimeshaua ngoja tuu nikatoe taarifa reception roho ikaniambia tuliaa aisee saa tano usiku hyo karibu masaa mawili mtu hajigusi kabisa ila anahema basi bana nikajilaumu sana yaani mana safari sikumwambia mtuu.. basi nikakubali kuwa nimeua maana nilishakata tama.
Nikiwa kwenye hali ya kutafakari nifanye nini roho moja inanimbia vaa kimbia nyingine nenda reception toa taarifa ila nikasema ngoja nijaribu tena kumpepea na kumtikisa nimefanya hvo almost dakika ishirini mtoto akazinduka aisee nilifurahi sana akaniuliza vipi nikamuambia fresh ikaonekana hajui chochote kile
Nikamuangalia nikaanza kulia kwa uchungu akawa anashangaa kwa nini nalia ananiuliza shida ni nini ndo nazidi kulia gafla na yeye akanza kulia.. ikabi ninyamaze nimmbeleze akanyamaza ila hakua na amani basi nikamuambia nimelia kwa sababu sikutegemea kukutana na mwanamke bikra huu ni uwongo..
Ila afarijike ila badae sana nilimuambia ukweli tukalala asbuhi kukakucha.. hapo jumamosi basi bana akaniomba yeye show nikasita kabisa akalazimisha ikabdi nifanye kwa tahadhari nikawa namsikilizia nikiona tuu anapata hisi kali basi baada ya jitihada nyingi nikafanikiwa kutoa bikra yake siku ya ambayo ni jumapili ndo tu lie enjoy sana sex sasa baada ya mda mrefu ndo nikaja kumuambia ukweli na ile hali haikuwahi kumtokea tenaa.
Mpaka leo ni mshikaji wangu bado tunapasha viporo
Mwisho nimefupisha but aisee mambo yelikua ni mengi saana