Sitokaa nisahau hii siku niliona rangi zote daah ogopa kifo

Story ya kitaahira, yaani utoe mtu bikra then kesho tena uendelee na game!!!
Hujui maana ya bikra, maana ukiitoa tu tayari ni kidonda hadi kipone!
Umemtoa bikra halafu muda huo huo akuombe tena umnyandue, kweli wewe ni chizi na story zako za kutunga!
 
Nilichozingatia katika simulizi yako ni mambo mawili tu, 'perfume ya kupima', hii sijawahi experience ipoje hii?

Cha pili kusema ...'nililia sana'...!
Unamaanisha kulia kabisa kama mtoto mdogo?

Wanaume wa siku hizi mnakwama wapi kujibehave kike namna hii, kulia lia kila tukio why!

Hadi kuvishana pete ya uchumba, utakuta mwanaume anaporomosha bonge la kilio kama cha msibani!

Mi huwa najiuliza nashindwa kujijibu ujue!
 
Perfume za kupima zipo na ni nzuri tu....kama upo Dar nenda pale Msimbazi police yanapopaki magari ya sinza wanauza mitumba kuna mtaa una mama ntilie wengi na mishkaki kuna duka hapo wanaanzia elf 5 mpaka 30 kutokana na ujazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…