Sitokuja kumwamini hata kidogo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kulidanganya taifa kuwa Magufuli ni mzima

Samahani naomba nikuulize je Yeye ndie alipaswa kusema hali ya Rais kwa mujibu wakatiba? Wakati mwingine funika ujinga wako usichekwe.
 
Sagia kunguni
 
Siku nyingine ufanye uchunguzi kwanza kabla ya kukurupuka na kuandika upupu kama huu.
Kosa la PM ni ipi hapo?
Unafikiri hizo habari anajiamulia tu kuzitoa kama vile ni masuala ya familia yake?

Kapangiwa aseme vile na wenyewe, na kafuata itifaki ya kutii agizo.
 
Unajua Wakati Ule Mzilankende Anamwambia Nitapiga Shangazi Zako
Alikuwa Anajua
Aliuliza Wabunge Wa Kusini Wapo Wangapi ? Akajibiwa Wapo 19
Akasema Nitawafukuza Wote Na Bunge Litaendelea


Mzilankende Alitufanyia Kazi Nzuri Sana Kwa Muda Mfupi
 
Hii nchi haina waziri mkuu believe me, mawaziri wako shaghalabahgala kila mmoja anaongea lake, yeye nae yuko ziarani utadhani naibu waziri anayejifunza kutumia perdiem.
Haa Haa
 
Acheni kumuandama waziri mkuu.

Naona kama anaandaliwa kisaikolojia.

Nyuzi zimekuwa nyingi humu za kumpa jina baya ili apigwe vizuri.
 
Wewe unalalamika kama nani? Si ndugu w Marehemu, wala CCM, wala raia mwema, la sivyo usingeshangili kifo cha Rais wako. Haruhuitaji imani yako, kaa nayo umwamini aliyesaliti Nchi. Ulichukia sana Waziri Mkuu aliposema Rais yu hai huku ulikuwa umeshaanza kushangilia kifo kilichotangazwa na msaliti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…