Elections 2010 Sitomsahau nyerere kwa hili

Elections 2010 Sitomsahau nyerere kwa hili

Huwa nawaambiaga watu kuwa Nyerere alikuwa zawadi kwa watanzania.
 
hivi ni wapi Nyerere alisema kikwete hajakomaa? yeye alisema kikwete na lowasa hawafai, na ukweli ni kuwa kikwete alishindwa kwenye uchaguzi wa ccm wa marudio, kisa hongo la rostam liliishia bara wakasahau zanzibar, waliporudia kura za wazenj zikaenda kwa mkapa
 
Huwa nawaambiaga watu kuwa Nyerere alikuwa zawadi kwa watanzania.

BWANA YESU alishasema NABII akubaliki nyumbani kwao.Hivyo watu kutomkubali MWL si ajabu maana hata maandiko matakatifu yalishatufunda kuhusu kukataliwa kwa Wakombozi wa jamii zao.

Kuhusu kuwepo uovu na ufisadi katika uongozi wa mwalimu hilo hata yeye alikiri, alishawahi kusema kuwa kutokana na ukubwa wa CCM anaifananisha na kokoro, kokoro likitupwa baharini au ziwani wakati wa uvuvi uibuka na samaki na wadudu mbalimbali na mauchafu kibao hivyo hata CCM uvuvi wake wa wanachama umepelekea kubeba wasafi, wachafu, manyang'au, mafisadi papa na nyangumi n.k

Pia MWL alishawahi kukiri kuwa yeye si malaika hivyo katika uongozi wake kuna makosa ambayo aliyatenda na kuwaomba msamaha watanzania kwa makosa hayo. Nyerere katika kukiri makosa yake hakuacha kutuhasa na kutufunza, pale aliposema, "uongozi wake umefanya mema na mabaya lakini anachowashangaa viongozi wa sasa badala ya kuiga yale mema wao wanaiga na kudumisha yale mabaya" Hapo Nyerere alishangaa na kuhoji uwezo wa viongozi wetu katika kutuongoza

Kwangu Mwalimu ni kiongozi mfano na wa kuenziwa, ni mfano wa uadilifu, na Nyerere na kwa TZ ni "ishara ya mchungaji na kondoo wake"
 
Nyerere ndiye mtu aliyetutengenezea miongozo ya maisha, na kaka mlimfuatilia vizuri alitutengenezea hata viongozi wanaofaa kuchaguliwa... Na ukweli ni kwamba JK hafai kwenye mwongozo wa Mwalimu Nyerere. Sasa kwanini Watanzania hawaoni hilo???

Tufuate mwongozo wa Nyerere wa Kuchagua kiongozi atakayeangalia na kujali maslahi ya watu...
 
Huu umasikini na maisha mabovu mnaomlaumu JK yote yamesababishwa na CCM iliyowalea watanzania kuwa waoga, wasiojiamini, wenye hofu ya mabadiliko, waliolishwa itikadi ya kuamini wananchosema viongozi ni sawa (slogan ya zidumu fikra za mwenyekiti)...n.k yote haya kasababisha Nyerere...kama asingefuta vyama vingi baada ya uhuru (mfano South Africa) basi leo watanganyika mungekwisha isahau CCM...am I lying...?

Ukasome tena historia yako vizuri. Ukiacha Kenya jirani zetu kaskazini nchi nyingi wakt wa Nyerere zilikuwa na hali mbaya. Ilikuwa ni msuguano wa mataifa ya kibepari na kisoshalist. Tena Tanzania tulikuwa na hali nzuri sana hadi kufikia 1978 wakati wa vita. Kulikuwepo na hali ya unafuu kwa watu wa kipato cha chini kabisa khali Kenya maskini alikuwa maskini kweli! Msisahau madhara ya vita ya Uganda yalizidishiwa chachu na kutokubaliana na mataifa makubwa duniani ambayo walimtaka Nyerere awaabudu, jambo ambalo alikataa kata. Bora Niwe Huru lakini Maskini, Kuliko Tajiri lakini Mtwana. Nyerere alitawala kipindi kigumu, hawa JK sioni kwa jinsi gani wangeweza hata kudumu kwa dk chache katika challenge za wakati ule. Tumwache Mwl apumzike!

Nyerere angependa angekuwa jabari tajiri kuliko hata wenzie kina Mobutu! Ulaya walimtaka sana, waliiona Tanzania kama mwali wakaitamani utajiri wake lakin yeye alijua hila zao akawazuia. Warusi na Wachina nao wakaja lakin kwa ujeuri wa Mwl akaweza kuwabana mbavu wasituibie. Baada ya yeye kuondoka ona wachina, warusi, wajapani, waarabu, wamarekani kila moja anakuja kuvuna shamba la bibi. ENYI WANA watanzania mwacheni Baba alale. Mkome kabisa ! Unafikiri kwa nini Kenyata amesahaulika haraka hivyo! Unafikiri Nyerere atasahaulika! Kiongozi bila kuwa na msimamo sio kiongozi. Mwite Dikteta, Mwite Mfalme, lakini kazi yake amefanya!
 
Tunataka baada ya miaka 10 au 20 tuwe na mtanzania wa pili baada ya nyerere awe role model wetu. Huyu si mwingine bali ni dk. Slaa
 
Nyerere alikuwa mtu wa aina yake. Yeye alikuwa thinker and philosopher. Unaweza ukamlinganisha na thinkers kama akina Plato; Karl Max, na wengineo. Bahati mbaya kwake ni kuwa alizaliwa katika nchi maskini kama Tanzania. Kama angekuwa Mmarekani, saa hizi angekuwa anaenziwa na dunia nzima.

Kuna hundreds and thousands of the so called "thinkers" huko Marekani. Haya ni matatizo ya kutokuwa exposed enough kujua kuna nini kikubwa zaidi ya hivyo vitabu vya Nyerere. Thinkings na philosophy ambazo haziko practical zinaitwa intellectual masturbation.
 
BWANA YESU alishasema NABII akubaliki nyumbani kwao.Hivyo watu kutomkubali MWL si ajabu maana hata maandiko matakatifu yalishatufunda kuhusu kukataliwa kwa Wakombozi wa jamii zao.

Kuhusu kuwepo uovu na ufisadi katika uongozi wa mwalimu hilo hata yeye alikiri, alishawahi kusema kuwa kutokana na ukubwa wa CCM anaifananisha na kokoro, kokoro likitupwa baharini au ziwani wakati wa uvuvi uibuka na samaki na wadudu mbalimbali na mauchafu kibao hivyo hata CCM uvuvi wake wa wanachama umepelekea kubeba wasafi, wachafu, manyang'au, mafisadi papa na nyangumi n.k

Pia MWL alishawahi kukiri kuwa yeye si malaika hivyo katika uongozi wake kuna makosa ambayo aliyatenda na kuwaomba msamaha watanzania kwa makosa hayo. Nyerere katika kukiri makosa yake hakuacha kutuhasa na kutufunza, pale aliposema, "uongozi wake umefanya mema na mabaya lakini anachowashangaa viongozi wa sasa badala ya kuiga yale mema wao wanaiga na kudumisha yale mabaya" Hapo Nyerere alishangaa na kuhoji uwezo wa viongozi wetu katika kutuongoza

Kwangu Mwalimu ni kiongozi mfano na wa kuenziwa, ni mfano wa uadilifu, na Nyerere na kwa TZ ni "ishara ya mchungaji na kondoo wake"

Yale yale ya walei na mabikiria maria.
 
Tunataka baada ya miaka 10 au 20 tuwe na mtanzania wa pili baada ya nyerere awe role model wetu. Huyu si mwingine bali ni dk. Slaa

Nafikiri unamaanisha Mkristo mzuri baada ya Nyerere. Wa kwanza alitaka kuwa kasisi, wa pili ukasisi umemshinda kwa sababu ya uzinifu. :becky:
 
Mkapa was much much better kuliko huyu jamaa! Mkapa ndiye aliyejitahidi kuiletea kaheshima kidogo hii nchi yetu tukufu. Mkapa alikuwa anajitahidi kuifanya nchi ijitegemee yenyewe. Kuna miradi mingi ya kipindi cha mkapa imefanyika kwa kutumia pesa yetu yenyewe na si kupigapiga magoti kwa wahisani amao wanakupa misaada ya masharti. Sasa huyu jamaa yetu anadiliki kusimama jukwaani na kuona fahari kusema Obama kaniahidi hiki na kile!!! Stupid fool!! mifweza ya hepa yote ilitengenezwa kipindi cha Mkapa. Jamaa walikula lakini kilichofanyika atleast kilionekana.
 
Kuna hundreds and thousands of the so called "thinkers" huko Marekani. Haya ni matatizo ya kutokuwa exposed enough kujua kuna nini kikubwa zaidi ya hivyo vitabu vya Nyerere. Thinkings na philosophy ambazo haziko practical zinaitwa intellectual masturbation.
Thinkers Marekani!!! Wewe ambaye ni exposed unalisaidiaje taifa lako na Afrika kwa ujumla? Mchango wa Great Thinker Mwalimu Tanzania na Africa kwa ujumla unaendelea na utaendelea ku-enziwa daima. Hao thinkers wa Marekani wanatusaidia nini?

You are just wasting you time trying to underate Mwalimu unaonyesha utupu na ulimbukeni ulionao wa kufika Marekani. If at all una exposure hiyo basi ni ile ya kwenda kusafisha masufuria ya Wamarekani ili upate mradi wako! Hata ukimuuliza rais wa Marekani Obama atakwambia Mwalimu was one of the Great Thinkers of Africa. Muulize Reagan jinsi Mwalimu alivyompa shida kwenye mkutano wa viongozi wa dunia huko Cancun kuzungumzia International Economic Order. Reagan alijisikia mdogo kama mbilikimo baada ya Mwalimu kumuangushia bomu lililomsambaratisha Reagan mkutanoni akakosa la kujibu!
 
Na huyo Mkapa, chaguo la Nyerere, ndiyo mnaona alikuwa kiongozi wa maana? :confused2:

Kama JK angelikuwa anafaa kuwa Rais wa nchi Mwalimu asingelisita kumkubali kwa kuwa tayari JK alikuwa na support ya Rais Mwinyi. Halikadhalika Mwalimu asingelihangaika kumbeba Mkapa mgongoni na kumnadi kwa wananchi. Mkapa alikuwa hajulikani na hakuwa na umaarufu ama mvuto wa aina yoyote zaidi ya kuwa na kiingereza kizuri ambacho hakingewasaidia sana wananchi!!
 
kuna tetesi kwamba kitabu cha mwalimu kiitwacho 'uongozi wetu na hatima ya tanzania' kimepigwa stop kimya kimya. kuna ukweli gani kuhusu hili??

ama kweli sitomsahau mwl nyerere kwa hili.
 
kuna tetesi kwamba kitabu cha mwalimu kiitwacho 'uongozi wetu na hatima ya tanzania' kimepigwa stop kimya kimya. kuna ukweli gani kuhusu hili??

ama kweli sitomsahau mwl nyerere kwa hili.

Kama tetesi aka umbeya ungekuwa ndiyo utajiri, basi wewe na wengine wengi kama wewe mngekuwa mamilionea. Nenda pale mtaa wa Samora na Mkwepu kuna bookshop moja ina vitabu vyote. Kuanzia vya Sir Kahama mpaka Sir Chande.
 
Mkapa was much much better kuliko huyu jamaa! Mkapa ndiye aliyejitahidi kuiletea kaheshima kidogo hii nchi yetu tukufu. Mkapa alikuwa anajitahidi kuifanya nchi ijitegemee yenyewe. Kuna miradi mingi ya kipindi cha mkapa imefanyika kwa kutumia pesa yetu yenyewe na si kupigapiga magoti kwa wahisani amao wanakupa misaada ya masharti. Sasa huyu jamaa yetu anadiliki kusimama jukwaani na kuona fahari kusema Obama kaniahidi hiki na kile!!! Stupid fool!! mifweza ya hepa yote ilitengenezwa kipindi cha Mkapa. Jamaa walikula lakini kilichofanyika atleast kilionekana.

Pinga kama wewe siyo mgalatia? Only mgalatia asiyekuwa na akili aliyetajwa kwenye agano jipya anaweza kuandika pumba kama hizi za kumsifu Mkapa. :becky:
 
Back
Top Bottom