Sitooa abadan asilan

Sitooa abadan asilan

Wewe jamaa adabu huna kabisa, unaita familia ya wenzako vifaranga? Watoto wake na mke wake unawafananisha na vifaranga?

Sikujui ila umri wako unaonekana bado umtoto mdogo sana.

Mungu akusamehe bure, ukikua utaacha.
😂😂😂😂 Siwezi pinga mawazo yako we mwenyewe unaweza ukawa mtu mzima sana na busara sana ila ukawa ngedere mmoja tu ww na familia yako mkawa kama kima wa porini😂😂😂😂😂
 
This can not be true. Alioa lini na wapi, Kamuoa nani?
Wewe ni kichaa.

Mbunge wa Mbeya mjini Mh. Joseph Mbilinyi 'Mr.II Sugu' leo tarehe 31/08, 2019, amefunga ndoa na mpenzi wake Happiness Msonga, katika kanisa Katoliki Ruanda Jijini Mbeya.
 
Attachments

  • SUGU 11.jpg
    SUGU 11.jpg
    30.6 KB · Views: 5
Wewe ni kichaa.

Mbunge wa Mbeya mjini Mh. Joseph Mbilinyi 'Mr.II Sugu' leo tarehe 31/08, 2019, amefunga ndoa na mpenzi wake Happiness Msonga, katika kanisa Katoliki Ruanda Jijini Mbeya.
Thanks for the information. I never heard about this.
 
Kabla ya kureply huu uharo wako nimechungulia kwanza profile yako, nilipoona umejiunga 2022 nimekusamehe bure.

Nimeshapata majibu ni kwa nini hili jukwaa Sasa hivi wale member smart kichwani wengi wamekaa pembeni.

Am too old for this rubbish.
Mkuu kwanini ukiwa umejiunga jf miaka 10 iliyopita ndio inakupa kibali cha kuonekana maoni yako ni sahihi zaidi ?
 
Hakuna kitu kizuri kama ndoa,sometimes unahitaji mtu wa kukufariji, kukuliwaza na kukutia moyo na mara zote mtu huyo ni mwandani wako tatizo tunakutana na vichomi,kikosi cha mizinga na mademu walio kalili wasiojua nini maana ya maisha.
 
Zamani ilikuwa mtu akiwa kwenye ndoa unaona enhee kweli jamaa anafaidi. Kuna vitu ulikuwa ili uvipate aidha kwa mwanamke au mwanaume lazima uingie kwenye ndoa.

Sikuhizi mambo yamekuwa vice versa.

Binafsi sijaona sababu ya kunifanya nioe. Rafiki zangu waliooa kila siku wananiambia matatizo wanayokumbana nayo. Leo hili kesho lile.

Haya basi usiseme sitaki kuoa kisa hizo shida lakini pia raha zao, raha wanazopata kwenye ndoa hata mimi nisiyeoa naweza kuzipata.

Sijui wanawake wamejirahisisha au ndo usasa? Naona vitu vimekuwa tofauti na zamani

Cha msingi ni kuwa na ela tu.

Ela ndo kila kitu ukiwa nazo utapata kila kitu anachopata mwanandoa tena bila karaha zake. Binafsi sijioni nikioa labda miaka inavyozidi kwenda nitabadili mtazamo wangu.

Ila kwa sasa BADO SANA.
Hahaha
 
Hakuna kitu kizuri kama ndoa,sometimes unahitaji mtu wa kukufariji, kukuliwaza na kukutia moyo na mara zote mtu huyo ni mwandani wako tatizo tunakutana na vichomi,kikosi cha mizinga na mademu walio kalili wasiojua nini maana ya maisha.
Duuh
 
Back
Top Bottom