Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Uhawara hauna hadhi ya married.Kuna mdada hapa ninapotafutia ugali nilimtongoza mwaka jana mwezi 6 akakubali tukaanza mahusiano juzijuzi tulipishana kidogo. Naona kuanzia jana kaanza kucheza cheza na midume mingine ili niumie mara wakumbatiane mara wapige Kiss.
Hapa moyo unauma wivu wivu. muda mwingne bora kuwa single.
NAUMIA SANA SANA.
Gatabhanya
Inauma sana.Uhawara hauna hadhi ya married.
Kuwa na hawara kama haujafunga ndoa wewe bado ni single.
Kweli kabisa mtu anajifunza kulingana na makosa.Piga nyapu pita hivi. Wewe unaweka makao? Hudhuria vikao vya kiume
Pole mkuu.Inauma sana.
Simple usi jaribu na wewe kucheza mdundo wake na wadada wengine kulipiza just ignore her and fanya kama aujari kabisa ikiwezekana wasifie that they look good together, Dadeki maumivu yako ata yasikia yeye 10 plus zaidi ila jiandae kwa counter attacks zaidi
Maumivu yake usipimeAisee moyo unaumaga mpaka unahisi kufakufa
Siwezi kufanya hivo naona ni kama kujishushia heshima.Kwan hapo ofisin hakuna wanawake wengine na wewe upoze moyo