Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
- Thread starter
- #41
Duuh kweli kabisaSi afadhali hiyo yako.
Kuna jamaa mmoja demu ŵake wa ofsini alianza kudeti na bosi, baadaye bosi akajua kama jamaa analamba asali yake!
Kilichofuatia jamaa alivuliwa wadhifa, akanyang'anywa ofisi, akawa kama mhudumu bila ishu maalumu kwa miezi kadhaa, baadaye kazi ikaota nyasi..
Ogopa sana mapenzi kazini broo