Sitorudia kuwa na mahusiano na mwanamke sehemu ninayofanyia kazi

BOra ajachezea kazi yako anachezea uch wake. Songa mbele tupa kule.
 
Na we lete mwingine;! Ujana Raha sana,kwa Hiyo anakuonyesha kwamba wewe ukipoa,zipo zingine za moto.
 
Kwani umewekeza hapo?.

Shida unakuwa kama umepigwa ganzi.
 
Naona kuanzia jana kaanza kucheza cheza na midume mingine ili niumie mara wakumbatiane mara wapige Kiss.
Si afadhali hiyo yako.
Kuna jamaa mmoja demu Ε΅ake wa ofsini alianza kudeti na bosi, baadaye bosi akajua kama jamaa analamba asali yake!

Kilichofuatia jamaa alivuliwa wadhifa, akanyang'anywa ofisi, akawa kama mhudumu bila ishu maalumu kwa miezi kadhaa, baadaye kazi ikaota nyasi..

Ogopa sana mapenzi kazini broo
 
Don't shit where you Eat...;

Ila katika scenario hii sio busara kuinvest muda au emotions kwa chizi wa aina yoyote no matter ni wapi hata kama ni long distance (na kwa maelezo yako huyu binti ni chizi)
 
Inaonekana bado unampenda hadi umeshindwa kumsahau, hii ni hatari kwako unatakiwa hapo achana nae na udili na maisha yako
 
Hahaha pole mkuuu
 
Umemaliza kama hajaelewa, akaombewe.
 
Don't shit where you Eat...;

Ila katika scenario hii sio busara kuinvest muda au emotions kwa chizi wa aina yoyote no matter ni wapi hata kama ni long distance (na kwa maelezo yako huyu binti ni chizi)
πŸ“πŸ“ŒπŸ“
 
Mkuu hakuna ulichopoteza,wewe sepa hivi,Yeye ndie anajichoresha mana atafunuliwa chupi na wengi.
Pia bora umegundua kwamba hana mana,mana kwa ananyokuonyesha nidhahiri hana mana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…