Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
- Thread starter
-
- #41
Duuh kweli kabisaSi afadhali hiyo yako.
Kuna jamaa mmoja demu ŵake wa ofsini alianza kudeti na bosi, baadaye bosi akajua kama jamaa analamba asali yake!
Kilichofuatia jamaa alivuliwa wadhifa, akanyang'anywa ofisi, akawa kama mhudumu bila ishu maalumu kwa miezi kadhaa, baadaye kazi ikaota nyasi..
Ogopa sana mapenzi kazini broo
Useless dramaKuna mdada hapa ninapotafutia ugali nilimtongoza mwaka jana mwezi 6 akakubali tukaanza mahusiano juzijuzi tulipishana kidogo. Naona kuanzia jana kaanza kucheza cheza na midume mingine ili niumie mara wakumbatiane mara wapige Kiss.
Hapa moyo unauma wivu wivu. muda mwingne bora kuwa single.
NAUMIA SANA SANA.
Gatabhanya
Duuh pole sanaKuna mdada hapa ninapotafutia ugali nilimtongoza mwaka jana mwezi 6 akakubali tukaanza mahusiano juzijuzi tulipishana kidogo. Naona kuanzia jana kaanza kucheza cheza na midume mingine ili niumie mara wakumbatiane mara wapige Kiss.
Hapa moyo unauma wivu wivu. muda mwingne bora kuwa single.
NAUMIA SANA SANA.
Gatabhanya
Muda wote moyo unaenda mbio nikiwa kazini naamini yataisha.Kwahiyo ukaamua utafute ugali na pisi?
Mshika mbili moja humponyoka mkuu
I was learned in hard way too 😂😂😂🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Hiki kipengele kishawahi nikuta... and I was learned in hard way... since then nilijifunza ku balance shobo. Nachoweza kukushauri DON'T GIVE HER ATTENTION 📌📌📍.usimpe attention yoyote. Kwa jujuu unaweza sema hii mbinu haifanyi kazi lakini huwa ni most disturbing psychological torture kwa wanawake hususani kama huyo anayekuonyeshea hapo kazini. Back to you .. inaonekana wewe ni wa 1998_2003 kiumri🤔🤔🤔
Kuna mdada hapa ninapotafutia ugali nilimtongoza mwaka jana mwezi 6 akakubali tukaanza mahusiano juzijuzi tulipishana kidogo. Naona kuanzia jana kaanza kucheza cheza na midume mingine ili niumie mara wakumbatiane mara wapige Kiss.
Hapa moyo unauma wivu wivu. muda mwingne bora kuwa single.
NAUMIA SANA SANA.
Gatabhanya
Aisee moyo unaumaga mpaka unahisi kufakufa
Ni wa kawaida tu.Potezea tu kwani anamaajabu sana ?
Wazee wenyewe wana wivu licha ya umri kuwatupa mkono ije kua kijana?Sasa kwa mwanamke itakuwaje?? Kama mtoto wa kiume unakufa unaoza
Acha uboyaKuna mdada hapa ninapotafutia ugali nilimtongoza mwaka jana mwezi 6 akakubali tukaanza mahusiano juzijuzi tulipishana kidogo. Naona kuanzia jana kaanza kucheza cheza na midume mingine ili niumie mara wakumbatiane mara wapige Kiss.
Hapa moyo unauma wivu wivu. muda mwingne bora kuwa single.
NAUMIA SANA SANA.
Gatabhanya
Hii mambo ya kuendekeza hizi harakati za mapenzi sehemu za kazi ni hatari sana mdauI was learned in hard way too 😂😂😂🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
👍Punguza ushamba fanya kazi urudi kwenu ...Kazini utakuja kukosa furaha usichanganye mambo.
Mimi hata namba siwezi kuhifadhi namba za mwanamke yoyote kazini ,sipendi mazoea kabisa wal kujua anaishije ...Kama kuna group la Whatsapp nikitaka nachukua kwa muda then nafuta ...Ukiendekeza hizo mambo utaumia sana.