Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Kuna mdada hapa ninapotafutia ugali nilimtongoza mwaka jana mwezi 6 akakubali tukaanza mahusiano juzijuzi tulipishana kidogo. Naona kuanzia jana kaanza kucheza cheza na midume mingine ili niumie mara wakumbatiane mara wapige Kiss.
Hapa moyo unauma wivu wivu. muda mwingne bora kuwa single.
NAUMIA SANA SANA.
Gatabhanya
Hapa moyo unauma wivu wivu. muda mwingne bora kuwa single.
NAUMIA SANA SANA.
Gatabhanya