Am sooo sooo so sad,ilikua jumamosi moja,tarehe kma ya leo nilipotoka club,nikiwa tungi
Nafika home sijielewi elewi,gari nimeharibu bumper
Naingia chumbani naviatu nakulala, naamka asubuhi nipo mtupu km nilivyozaliwa
Nimelala wife yupo pemben,ananiangalia
Nambana kwa maswali anasema ilibidi aniamshe nakunikokota bafuni,akanivua nguo zote nakuniogesha
Akanikokota room nakunilaza,uchi.
Why anilaze bila nguo? Akajitetea nilikua nimejitapikia so akazivua nguo zote na kunilaza uchi
Nam maindi till today sema ajui tu
Wanawake wapuuzi sana,sishauri mtu kuoa