Sitosahahu nilipojitapikia baada ya kulewa

Sitosahahu nilipojitapikia baada ya kulewa

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,718
Reaction score
7,784
Am sooo sooo so sad, ilikua jumamosi moja,tarehe kma ya leo nilipotoka club, nikiwa tungi.

Nafika home sijielewi elewi, gari nimeharibu bumper.
Naingia chumbani na viatu na kulala, naamka asubuhi nipo mtupu km nilivyozaliwa.

Nimelala wife yupo pembeni, ananiangalia.
Nambana kwa maswali anasema ilibidi aniamshe na kunikokota bafuni, akanivua nguo zote na kuniogesha. Then akanikokota room na kunilaza uchi.

Why anilaze bila nguo? Akajitetea nilikuwa nimejitapikia so akazivua nguo zote na kunilaza uchi.
Nam maindi till today sema hajui tu!

Wanawake wapuuzi sana, sishauri mtu kuoa.
 
Am sooo sooo so sad,ilikua jumamosi moja,tarehe kma ya leo nilipotoka club,nikiwa tungi

Nafika home sijielewi elewi,gari nimeharibu bumper
Naingia chumbani naviatu nakulala, naamka asubuhi nipo mtupu km nilivyozaliwa

Nimelala wife yupo pemben,ananiangalia
Nambana kwa maswali anasema ilibidi aniamshe nakunikokota bafuni,akanivua nguo zote nakuniogesha
Akanikokota room nakunilaza,uchi.

Why anilaze bila nguo? Akajitetea nilikua nimejitapikia so akazivua nguo zote na kunilaza uchi
Nam maindi till today sema ajui tu

Wanawake wapuuzi sana,sishauri mtu kuoa
Aisee, yaani umesaidiwa na waifu bado unalalam je ungekuta umekuta umebakwa na wahuni?
 
Ningekua mimi ningeacha pombe siku hiyo hiyo badala ya kumlaumu my wife wako.
Me kuna siku nimekutana na jamaa zangu flani hivi,wakanipiga makonyagi sio poa asee afu nilikua sijala kitu,kurudi home usiku kwanza nikaanguka getini then nikalala sebuleni..toka siku hiyo nimeacha pombe asee maana nilitia aibu.
 
Back
Top Bottom