mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Am sooo sooo so sad, ilikua jumamosi moja,tarehe kma ya leo nilipotoka club, nikiwa tungi.
Nafika home sijielewi elewi, gari nimeharibu bumper.
Naingia chumbani na viatu na kulala, naamka asubuhi nipo mtupu km nilivyozaliwa.
Nimelala wife yupo pembeni, ananiangalia.
Nambana kwa maswali anasema ilibidi aniamshe na kunikokota bafuni, akanivua nguo zote na kuniogesha. Then akanikokota room na kunilaza uchi.
Why anilaze bila nguo? Akajitetea nilikuwa nimejitapikia so akazivua nguo zote na kunilaza uchi.
Nam maindi till today sema hajui tu!
Wanawake wapuuzi sana, sishauri mtu kuoa.