Sitosahau mapacha wa Antivirus walivyoomba msamaha clouds

Sitosahau mapacha wa Antivirus walivyoomba msamaha clouds

daaah cloudz bhana....lkn yote hyo ni kutokana na kuwa wao ndo waloushape msingi wa muziki hapa bongo......kwa hyo kuwa na sauti juu ya muziku wetu they deserve....tusilalamike sana.
 
Na huko facebook kumeibuka kurushia maneno kati ya Afande selle na G.Solo (kama kawa records)

Afande anasema Sugu alipewa mil60 na Ruge bifu liishe na aligawana yy na G.Solo.
 
CLOUDS KIBOKO YAO SIMBA NA YULE DEMU LADY JAY DEE
Domo nae n msenge tu Kwa ruge
Ruge akiamua domo asubuh tu na
Bard

Sema clouds wanavuna mpunga
Wa maana Kwa domo ndo maana
Unaona hawaangik nae
 
Pamoja Na kuomba msamaha leo
Wako wap
 
Na huko facebook kumeibuka kurushia maneno kati ya Afande selle na G.Solo (kama kawa records)

Afande anasema Sugu alipewa mil60 na Ruge bifu liishe na aligawana yy na G.Solo.
Kwenye account ya afande sele???
 
Sugu nadhani jamaa ndio walimwogopa wakaomba suruhu maana jamaa huwa ni nadra sana kuomba muafaka
Sugu yule nigga huwa hana mchezo kwenye mambo ya msingi, na sio mwoga kabisa, clouds waliliona balaa lake, Sasa sijui nini kilitokea katikati pale ile movement ikafa
 
Sugu yule nigga huwa hana mchezo kwenye mambo ya msingi, na sio mwoga kabisa, clouds waliliona balaa lake, Sasa sijui nini kilitokea katikati pale ile movement ikafa
Sugu moto wake ni mkubwa ni mwanaharakati wa asili hivyo wasingeweza kumdhibiti hasa ukizingatia walimpiga bao kwenye ile issue ya malaria no more (na ndio wakamwongezea ngumu)
 
Domo nae n ****** tu Kwa ruge
Ruge akiamua domo asubuh tu na
Bard

Sema clouds wanavuna mpunga
Wa maana Kwa domo ndo maana
Unaona hawaangik nae
[HASHTAG]#KasemaDaMange[/HASHTAG].Dogo ndio washamkosa na ndio maana wanabana na bado toka January mpaka hivi sasa Diamond na WCB wanakimbiza bila sapoti yao na mwisho wasiku Clouds wataomba kukaa mezani na WCB kibiashara zaidi na si kiushkaji kama zamani.Ili uheshimike lazima ujitambue na uwe jasiri,tatizo wasanii wabongo hawaheshimiki sababu hawajitambui na waoga,we si umemuona Sugu mpaka wao wenyewe wakamtafuta MBOWE na MCHIMBI awasaidie.
 
Wasanii wa bongo kwann wasiungane na kuanzisha tamasha lao?
 
Back
Top Bottom