Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Domo nae n msenge tu Kwa rugeCLOUDS KIBOKO YAO SIMBA NA YULE DEMU LADY JAY DEE
Kwenye account ya afande sele???Na huko facebook kumeibuka kurushia maneno kati ya Afande selle na G.Solo (kama kawa records)
Afande anasema Sugu alipewa mil60 na Ruge bifu liishe na aligawana yy na G.Solo.
Akikujibu unitagJ
J mo anamafanikio gani
wenye mabwana ndio wataka zaidiJide ana bwana wake yule marasta
Sugu nadhani jamaa ndio walimwogopa wakaomba suruhu maana jamaa huwa ni nadra sana kuomba muafakasugu nae alisaliti, daah!
Maswali yalikuwa magumu mpaka maana ya kuomba msamaha nikaona haipoMe sintosahau msanii rubby alivyowaomba msamaha....sasa huyo B12 alivyokuwa anamuuliza maswali hadi kinyaa.....aibu naona mimi!
Kwakwel kuanzia siku ile yule mtangazaj namuona kwa jicho tofauti kabisa!Maswali yalikuwa magumu mpaka maana ya kuomba msamaha nikaona haipo
Sugu yule nigga huwa hana mchezo kwenye mambo ya msingi, na sio mwoga kabisa, clouds waliliona balaa lake, Sasa sijui nini kilitokea katikati pale ile movement ikafaSugu nadhani jamaa ndio walimwogopa wakaomba suruhu maana jamaa huwa ni nadra sana kuomba muafaka
Sana alizingua mnoRama D aliniaibisha sana
Sugu moto wake ni mkubwa ni mwanaharakati wa asili hivyo wasingeweza kumdhibiti hasa ukizingatia walimpiga bao kwenye ile issue ya malaria no more (na ndio wakamwongezea ngumu)Sugu yule nigga huwa hana mchezo kwenye mambo ya msingi, na sio mwoga kabisa, clouds waliliona balaa lake, Sasa sijui nini kilitokea katikati pale ile movement ikafa
[HASHTAG]#KasemaDaMange[/HASHTAG].Dogo ndio washamkosa na ndio maana wanabana na bado toka January mpaka hivi sasa Diamond na WCB wanakimbiza bila sapoti yao na mwisho wasiku Clouds wataomba kukaa mezani na WCB kibiashara zaidi na si kiushkaji kama zamani.Ili uheshimike lazima ujitambue na uwe jasiri,tatizo wasanii wabongo hawaheshimiki sababu hawajitambui na waoga,we si umemuona Sugu mpaka wao wenyewe wakamtafuta MBOWE na MCHIMBI awasaidie.Domo nae n ****** tu Kwa ruge
Ruge akiamua domo asubuh tu na
Bard
Sema clouds wanavuna mpunga
Wa maana Kwa domo ndo maana
Unaona hawaangik nae
Sugu anajiamini na anauhakika na anachokifanya,ila mwisho aliwasaliti wana.Sugu nadhani jamaa ndio walimwogopa wakaomba suruhu maana jamaa huwa ni nadra sana kuomba muafaka
Acha tuuu alikua anaongea yeye aibu naona me kuna time nlikua napunguza sauti hadi mwisho afu naongeza badae.....Rama D aliniaibisha sana
Kwenye account ya afande selleKwenye account ya afande sele???