K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Jun 13, 2024 #21 macho_mdiliko said: Kuna watu ''watakupiga mawe'' lakini una akili sana. Haya mambo hata mimi siku hizi sisikitiki tena. Nchi hii ina kila raslimali na haikutakiwa iwe hivyo. Tunacheka na CCM badala ya kuwawashia moto. Click to expand... Nguruwe kwenye shamba la mihogo wapi na wapi ,achana nao ilimradi wako na chamana hakuna
macho_mdiliko said: Kuna watu ''watakupiga mawe'' lakini una akili sana. Haya mambo hata mimi siku hizi sisikitiki tena. Nchi hii ina kila raslimali na haikutakiwa iwe hivyo. Tunacheka na CCM badala ya kuwawashia moto. Click to expand... Nguruwe kwenye shamba la mihogo wapi na wapi ,achana nao ilimradi wako na chamana hakuna
Sultani Makenga JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 621 Reaction score 1,039 Jun 13, 2024 #22 kina kirefu said: Ulitakaje ,tena dar huko mfe kabisa nyie ndo mnajifanyaga mnaijua sana ccm Click to expand... uwe na huruma kwa binadamu wenzako
kina kirefu said: Ulitakaje ,tena dar huko mfe kabisa nyie ndo mnajifanyaga mnaijua sana ccm Click to expand... uwe na huruma kwa binadamu wenzako
Tanki JF-Expert Member Joined Apr 7, 2013 Posts 538 Reaction score 246 Jun 13, 2024 Thread starter #23 kina kirefu said: Ulitakaje ,tena dar huko mfe kabisa nyie ndo mnajifanyaga mnaijua sana ccm Click to expand... Shukrani ndugu yangu. MUNGU akubariki
kina kirefu said: Ulitakaje ,tena dar huko mfe kabisa nyie ndo mnajifanyaga mnaijua sana ccm Click to expand... Shukrani ndugu yangu. MUNGU akubariki
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Jun 13, 2024 #24 Shahed kamikaze said: uwe na huruma kwa binadamu wenzako Click to expand... Sawa si kwakizazi hiki, kwasasa huruma yangu nitaielekeza kwa wanyama
Shahed kamikaze said: uwe na huruma kwa binadamu wenzako Click to expand... Sawa si kwakizazi hiki, kwasasa huruma yangu nitaielekeza kwa wanyama
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Jun 13, 2024 #25 Mtukutu wa Nyaigela said: watu wengi wanakufa kwa okosefu wa hela umasikini ni mbaya sana Click to expand... Lowasa aenziwe
Mtukutu wa Nyaigela said: watu wengi wanakufa kwa okosefu wa hela umasikini ni mbaya sana Click to expand... Lowasa aenziwe