Sitosahau mwaka juzi Amana hospitali walipokataa kumuhudumia mgonjwa wangu kisa sina pesa ya kipimo cha CT scan (150,000)

Sitosahau mwaka juzi Amana hospitali walipokataa kumuhudumia mgonjwa wangu kisa sina pesa ya kipimo cha CT scan (150,000)

Kuna watu ''watakupiga mawe'' lakini una akili sana. Haya mambo hata mimi siku hizi sisikitiki tena. Nchi hii ina kila raslimali na haikutakiwa iwe hivyo. Tunacheka na CCM badala ya kuwawashia moto.
Nguruwe kwenye shamba la mihogo wapi na wapi ,achana nao ilimradi wako na chamana hakuna
 
Back
Top Bottom