Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Duj



Duh pole
 
Hatar
 
Wenzako tupo sehemu ya9 sasa
 
Inanikumbusha mwaka 2011 niliacha nyumbani kila kitu kizuri kuanzia chakula cha uhakika mpaka sehemu nzuri ya kulala. Nikaenda wilaya ya tatu eti kutafuta maisha. Kuna usiku mmoja ulikuwa mgumu sana kwangu, sitasahau.
Refusha mkuu,,harakati za mtu mweusi
 
Hadi hapa naamini kabisa kwamba hii ni true story. Sehemu kubwa sana ni ukweli πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…