Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

pamoja na matatizo hayo lakini pia wewe ni mzembe na unazubaa sana.
 
Tumeshakubaliana kwamba tuendelee kuEnjoy Utunzi wa huyu jamaa ila sio kwamba hii ni stori ya kweli....haina uhalisia mzee,
Uhalisia ni Asilimia 99.9 wengine hayo maneno tunayafahamu na habari ya kutunga inafahamika..vipo vionjo anaweka ili kuifanya simulizi yake iweze kulika.
Yakikukuta na wewe utapata cha kusimulia.
 
Unaijua baridi ya makete wewe. Imaginenyumba nzima mpo wawili tuna mhudumu wa guest. unajikuta unaondoka na ngoma na kuja kumpa mkeo
Niliwahi kufika njombe mara mbili, msimu baridi imekolea sana nilikuwa kwenye hotel ina maji moto na fire place nakini sikuoga siku 4.

Mara nyingi mimi siongozwi na kichwa cha chini, naongozwa na kichwa cha juu.

Kwenye baridi nikipata Whisky wala sina haja na kitu kinaitwa demu, kwanza takwimu za ngoma mkoa wa njombe ni hatari kwa sababu ya ile hali ya hewa yao.
 
Sasa hiyo ni wewe mzee, kila mtu na style yake.
 
Tulia hivohivo
Baridi ya njombe ikasome
Nasema ikasome upya kwa baridi ya makete

Hasa pale kitulo national park
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…