Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

uje utupe sasa na wewe iyo story
 
Uhalisia ni Asilimia 99.9 wengine hayo maneno tunayafahamu na habari ya kutunga inafahamika..vipo vionjo anaweka ili kuifanya simulizi yake iweze kulika.
Yakikukuta na wewe utapata cha kusimulia.
Inamaana hujagundua kabisa kwamba huyu jamaa ni mzuri sana kwenye Utunzi?
 
Hapo Njombe pana joto sana pandisha makete zinakoanguka barafu. pale ni kijijini tena kanisani hakuna cha whisky wala pombe ya kienyeji
 
Lugarawa nshafika kaka pale kwenye ile guest ya yule jamaa mwenye mabasi ya kwenda njombe mwaka 2005 na 2007 dah napakumbuka sana pande zile karibu na kanisa lile,wewe ni wa lugarawa?
Nyuma kidogo ya lugarawa kama km 16 hivi.
 
Kwani hayo maambukiz ni sabab ya hali ya hewa? Kwan hii nchi ni njombe tu ndo kwny baridi?.

Kuna maeneo kama lushoto huko tanga,mbeya, arusha, moshi kuna baridi balaa lakn mbna maambukizi hayapo juu kama inavosemwa njombe?? Nahisi kuna sabab nyngne
 
Kwani hayo maambukiz ni sabab ya hali ya hewa? Kwan hii nchi ni njombe tu ndo kwny baridi?.

Kuna maeneo kama lushoto huko tanga,mbeya, arusha, moshi kuna baridi balaa lakn mbna maambukizi hayapo juu kama inavosemwa njombe?? Nahisi kuna sabab nyngne
Umewahi kufika njombe winter time? huko Makete ndio usiseme, ukiacha ndoo ya maji nje asubuhi unakuta barafu.
 
[emoji3][emoji3]kwa namna jamaa anavyosimulia utadhani shetani na Mungu walikaa kikao kisha wakaafikiana shetani aendelee ila asimuue jamaa kama ilivyokuww kwa ayubu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

yaani unawezafanya jambo ukidhani unaweka yajayo sawa sekunde zijazo kumbe ndio unaharibu kabisa,mfano hapo kwenye kudai nauli.

sema mkuu mara ya mwisho uliishia umekabidhi elfu 5000 kwa boda umebaki na 5000 mfukoni,hujatwambia nani alikufadhili 25 baadae ambayo ulikuwa nayo wakati unakutana na majangiri.
 
Umewahi kufika njombe winter time? huko Makete ndio usiseme, ukiacha ndoo ya maji nje asubuhi unakuta barafu.
Njombe tu hapo ukifika bar ukiagiza bia, mhudumu hakuulizi kama ni bia ya moto au baridi, anakuletea bia ikiwa ya baridi tayari.
Makete ndio usiseme.
Kuna siku nilifika Njombe nikaagiza wali, mhudumu akanipakulia wali wa moto kabisa. Baada ya dakika chache wali ukawa wa baridi, hata sikumaliza.
 
Alipewa 20k na mwalimu mkuu pale alipotaka kunjunja shuleni.
 
Mbona kaelezea sema ulipitwa kusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…