Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhan msimulizi wetu amekua disappointed San kutokana na mipasho ya watoto wa mama utafikiri wao ndo wanaomnunulia bandoNakuamini kwenye kupigika hapo.
Nyegezi hazina staha...alitaka kujopoza baada ya mihangaiko.Na majanga yote hayo bado ukadinda
Naomba ni attack mapBro nimekuamini maana haya maeneo unayotaja nayafaham yote na hiyo shule ya Chinongwe naifaham vizuri...Pole sana bro
Huyu ni zoba la mwisho,pamoja na matatizo hayo lakini pia wewe ni mzembe na unazubaa sana.
Anaendeshwa na emotion zake za kipuuzi mwisho anakuja kubaha tena [emoji23][emoji23][emoji23]Nimemchana hapo juu, jamaa ni lofa(tuseme ukweli), anaonekana ni mtu wa kusukumwa mno.
Asante kwa taarifa mkuuTaarifa nilizonazo wakuu kuw baharia muda c mrefu atrud kundin kuendlea na episode ......tuskate tamaa kuchungulia uu uzi......hii taarfa imetolew na MSEMAJI BINAFSI WA MPWA.....Rwekaxa Autonomy!
Kweli ipo machakani aiseeNaomba ni attack mapView attachment 2229590
Kuandika sio kazi rahisi,Ukiona story inasema "itaendelea" jua kuisha huwa ngumu sana
Mbona mwanzo alikuwa anaandika kwa siku hata episode 4 leo anashindwa nini dizaini kama sio chai basi yanatengenezwa mazingira ya watu kupigwaKuandika sio kazi rahisi,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ni zoba la mwisho,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaendeshwa na emotion zake za kipuuzi mwisho anakuja kubaha tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba ni attack mapView attachment 2229590