Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Bro nimekuamini maana haya maeneo unayotaja nayafaham yote na hiyo shule ya Chinongwe naifaham vizuri...Pole sana bro
Naomba ni attack map
20220518_175733.jpg
 
Zaman nilkuwa na tabia gari likizingua tu mim ndo nakuwa mlalamikaji namba moja,siku moja nikiwa natoka dar kwenda mwanza gari liliharibika shinyanga mida ya jioni kama kawaida yangu nikaanza kuzingua na maneno ya kejeli pale utazani hata naweza miliki basi kwa wakati huo,kumbe wakati naropoka kulikuwa na mzee wa kiarabu karibu yangu na alikuwa anahusika kwenye hilo basi,sitasahau mzee yule alinipiga mkwara wa hatari na kunitukania mama na akaniambia wanaweza niacha pale porini na hawatafanywa lolote.

Nilipata adabu,hata hivyo baada ya kuwa mtu na nikaelewa mambo mbalimbali sahivi siwezi kuropoka ropoka hovyo gari linapoharibika zaidi nakuwa karibu kusaidia,maana magari kama binadamu unaweza ugua muda wowote
 
Taarifa nilizonazo wakuu kuw baharia muda c mrefu atrud kundin kuendlea na episode ......tuskate tamaa kuchungulia uu uzi......hii taarfa imetolew na MSEMAJI BINAFSI WA MPWA.....Rwekaxa Autonomy!
 
Back
Top Bottom