Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Kwenye stori anasema amesoma na mshkaji primary kamaliza 2006 so it means kaanza 1999.

Hapa anasema 92.

Ila sio ishu sana siisi tunataka stori
Hivi wewe na akili zako za utoto na upuuzi... Unahisi alitakiwa aweke kila kitu kuhusu yeye? Sometimes huwenda historia inamaumivu kwake au kwa walioifanya hiyo historia ya Muhusika hivyo hana budi kuficha vile vya muhimu....

Unachotakiwa ni kuchukua funzo lililo ndani ya story, hayo mengine unayamezea....

Bichwa lako
 
Vijiji gani kuna hayo machimbo ya dhahabu.?

#MaendeleoHayanaChama
Hakuna mgodi mkubwa kuna wachimbaji wadogo wa wadogo.
Mimi najua machimbo flani ya Nachingwea nenda vijiji vya Ruponda, au Namanga, au Marambo ulizia machimbo ya dhahabu wapi watakuelekeza kuna mlima mdogo nimesahau jina.
Au kuna machimbo mengine njia ya Liwale kuna mdau ameyataja pale juu.

Kuna machimbo mengine huko Namungo Ruangwa, n.k.
Kuna machimbo/vitalu vya madini mengine huko Nditi. Kuna geologist flani co-worker na wazungu wakati wa exploration walikuwa wanafikia nyumbani kwa jamaa zangu.

Yapo vijiji kadhaa vingine nimesahau. Sijapita huko miaka mingi sana. Mdogo wangu alikuwa huko machimbo ya Ruponda na Marambo.
 
Hahahahah,uzuri wa JF bhana wala hauitajiki kutoa pesa kupata mawakili we weka stori kisha mute utaseeemwa lakini utatewa mpaka tone LA mwisho na mawakili wasomi...
 
-------SEHEMU YA KUMI NA MOJA - - - - - -

Nilipokula chipsi yai makamu akaja kuniletea maji ya kunywa nakunionyesha sehemu za muhimu kama Choo na bafu. Nikalala fofofo japo ni chini kwenye sakafu lakini usingizi ulikuwa mtamu sana kutokana na uchovu mzito niliokuwa nao tangu nimeondoka Dar Es Salaam sikuweza kulala kwenye
Jamaa una misukosuko sana[emoji23][emoji23][emoji23]mpaka mitama
 
Hii hadith umeanza jichanganya sehemu nyingi ukiwa na lengo la kuionogesha. Unataka matukio mengi sana mpaka unakosea. Hilo la huyo binti kumtaka inaonesha kabisa hukujipanga vizuri kulielezea. Na hilo la Majangiri kuwasha moto mkubwa kiasi cha wewe kutembea dk 45 kuufikia ni uongo mwingine ambao hukujipanga. Mwendo wa kuuona moto umbali wa dk 45 ni moto mkubwa sana ambao majangiri hawawezi hatarisha maisha yao hivyo. Na hapo ukataja bunduki SMG eti uliifahamu sababu ulipitia JKT acha kufanya watu wote humu watoto. Wewe andika hadithi kama hadithi si lazim udanganye kuwa yalikukuta.
SMG ya kuwindia kkkkkk

mpwayungu village njoo ulete muendelezo.
 
Hivi wewe na akili zako za utoto na upuuzi... Unahisi alitakiwa aweke kila kitu kuhusu yeye? Sometimes huwenda historia inamaumivu kwake au kwa walioifanya hiyo historia ya Muhusika hivyo hana budi kuficha vile vya muhimu....

Unachotakiwa ni kuchukua funzo lililo ndani ya story, hayo mengine unayamezea....

Bichwa lako
Saawa ndugu yangu.

Mimi bado naendeleakufatilia kisa hiki kwa sababu ya uzuri wake.
 
-------SEHEMU YA NNE -------

Kile kijamaa kigomvi ambacho kilikuja na pikipiki ambayo haina hata plate number kilirarua sana moyo wangu maana hakana huruma kabisa na sikujua kuwa unyama wa namna hii upo mpaka wilayani, wale majamaa wenzake wawili kipindi wanakagua begi langu walipoona vyeti kile kijamaa kwa hasira
Yaunganishe haya machapisho yako utatoa kitabu kizuri sana utakachoweza kukiuza na kuagana na umaskini. Uko vizuri kwenye kutunga hadithi kwa kweli. Hongera sana.
 
SEHEMU YA KUMI NA MBILI​

Basi baada ya kina Kidagaa na bosi zake kuondoka, nikaona isiwe tabu kwa vile njia naijua nikaanza kutembea kufuata uelekeo wa lile basi lilipopita huku nikiangalia alama za matariri ya basi la MACHINGA ili nisije kupotea. Niliendelea na safari kwa muda wa masaa matano bila kupumzika na begi langu la nguo likiwa kichwani. NIkapita sehemu nikakuta wanacheza prutable. Kiukweli walinishangaa sana wale wacheza prutable lakini mimi
Hahahaha kidagaa ni chawa pro max ..
 
------SEHEMU YA SITA - - - - - -

Nilipoangalia mazingira ya yule jamaa mlevi nikaona amekojoa maeneo yale na yale maboksi ya kulalia yamekojolewa, kwa kuwa nilikuwa na usingizi sana nasiwezi kulala kwenye michanga ilinibidi nichague Kati ya haya "kulala kwenye mikojo au kutokulala kabisa".. Nikasema mm nalala maana
Sasa compile simulizi zako zote
------SEHEMU YA SITA - - - - - -

Nilipoangalia mazingira ya yule jamaa mlevi nikaona amekojoa maeneo yale na yale maboksi ya kulalia yamekojolewa, kwa kuwa nilikuwa na usingizi sana nasiwezi kulala kwenye michanga ilinibidi nichague Kati ya haya "kulala kwenye mikojo au kutokulala kabisa".. Nikasema mm nalala maana hakuna namna Ile navua begi mgongoni niliweke ndani nakuta limefunguliwa zipu na baadhi ya documents zilizokuwa kwenye bahasha ikiwemo vyeti

------inaendelea usichoke - - - - -
Sasa compile simulizi zako zote peleka kwa publisher utatoa kitabu kizuri sana cha riwaya. Unacho kipaji kifanyie kazi.
 
Back
Top Bottom