Balvejmumt
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,224
- 2,938
Hivi wewe na akili zako za utoto na upuuzi... Unahisi alitakiwa aweke kila kitu kuhusu yeye? Sometimes huwenda historia inamaumivu kwake au kwa walioifanya hiyo historia ya Muhusika hivyo hana budi kuficha vile vya muhimu....Kwenye stori anasema amesoma na mshkaji primary kamaliza 2006 so it means kaanza 1999.
Hapa anasema 92.
Ila sio ishu sana siisi tunataka stori
Unachotakiwa ni kuchukua funzo lililo ndani ya story, hayo mengine unayamezea....
Bichwa lako