Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Kwenye stori anasema amesoma na mshkaji primary kamaliza 2006 so it means kaanza 1999.

Hapa anasema 92.

Ila sio ishu sana siisi tunataka stori
Hivi wewe na akili zako za utoto na upuuzi... Unahisi alitakiwa aweke kila kitu kuhusu yeye? Sometimes huwenda historia inamaumivu kwake au kwa walioifanya hiyo historia ya Muhusika hivyo hana budi kuficha vile vya muhimu....

Unachotakiwa ni kuchukua funzo lililo ndani ya story, hayo mengine unayamezea....

Bichwa lako
 
Vijiji gani kuna hayo machimbo ya dhahabu.?

#MaendeleoHayanaChama
Hakuna mgodi mkubwa kuna wachimbaji wadogo wa wadogo.
Mimi najua machimbo flani ya Nachingwea nenda vijiji vya Ruponda, au Namanga, au Marambo ulizia machimbo ya dhahabu wapi watakuelekeza kuna mlima mdogo nimesahau jina.
Au kuna machimbo mengine njia ya Liwale kuna mdau ameyataja pale juu.

Kuna machimbo mengine huko Namungo Ruangwa, n.k.
Kuna machimbo/vitalu vya madini mengine huko Nditi. Kuna geologist flani co-worker na wazungu wakati wa exploration walikuwa wanafikia nyumbani kwa jamaa zangu.

Yapo vijiji kadhaa vingine nimesahau. Sijapita huko miaka mingi sana. Mdogo wangu alikuwa huko machimbo ya Ruponda na Marambo.
 
Hahahahah,uzuri wa JF bhana wala hauitajiki kutoa pesa kupata mawakili we weka stori kisha mute utaseeemwa lakini utatewa mpaka tone LA mwisho na mawakili wasomi...
 
Jamaa una misukosuko sana[emoji23][emoji23][emoji23]mpaka mitama
 
SMG ya kuwindia kkkkkk

mpwayungu village njoo ulete muendelezo.
 
Saawa ndugu yangu.

Mimi bado naendeleakufatilia kisa hiki kwa sababu ya uzuri wake.
 
Yaunganishe haya machapisho yako utatoa kitabu kizuri sana utakachoweza kukiuza na kuagana na umaskini. Uko vizuri kwenye kutunga hadithi kwa kweli. Hongera sana.
 
Hahahaha kidagaa ni chawa pro max ..
 
Sasa compile simulizi zako zote
Sasa compile simulizi zako zote peleka kwa publisher utatoa kitabu kizuri sana cha riwaya. Unacho kipaji kifanyie kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…