Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,646
- 5,606
miaka ya nyuma kidogo niliwahi kuishi njombe nikitokea mkoa wa kilimanjaro (Moshi)........Njombe ni zaidi ya urusi yaani sijawahi kukaa makete lakini hapo njombe ni baridi la kufa mtu,siku ya kwanza tu kufika kule nikajiuliza hawa raia wa uku wanaishi vipi yaaniEti lushoto, Arusha na moshi ndo useme Kuna barid Sasa ya kuifananisha na njombe ??
Barid ya njombe ni habar nyingne asee na wilaya inayoongoza kwa baridi ni makete na ndo ulikozid Sana ukimwi
Kwahy hta Kam Kna sababu zingne ila barid nayo inachangia kwa kias kikubwa