Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

miaka ya nyuma kidogo niliwahi kuishi njombe nikitokea mkoa wa kilimanjaro (Moshi)........Njombe ni zaidi ya urusi yaani sijawahi kukaa makete lakini hapo njombe ni baridi la kufa mtu,siku ya kwanza tu kufika kule nikajiuliza hawa raia wa uku wanaishi vipi yaani
 
Mkuu malizia aisee achana na hao wanao kudiss huwa hawakosekani. Kuacha ni kuwapa kiburi cha msingi hapa wapuuzie endelea kutupa story
 
Kwani lazima,si uendelee na maisha yako
 
Vijiji gani kuna hayo machimbo ya dhahabu.?

#MaendeleoHayanaChama
Vijiji vyenye machimbo ya dhahabu walau kwa uchache: Mbecha,Mibure,Chienjere,Nandagala,Chingumbwa,Mkuti,Mandalawe,Matambalale bila kusahau baba lao NAMUNGO ila hiki sio kijj bali ni kitongoji katika kijj cha chingumbwan (Zote wilaya ya Ruangwa), afu kuna Namajani ukivuka mto mbwemkuru....Nditi,lupota,malambo ikungu,mpiruka hizi zote ziko nachingwea...kote huko machimbo yamejaa inategemea unataka uende chimbo lipi....Karibu Kusini
 
Unaweza kukuta hii tabia ya kususa anayo mpaka kwa mke wake [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sana pengine mi ni baba yako
 
Ok,nimekuelewa umeandika kwa hisia sana

Pia nisamehe kwa yaliyojitokeza mkuu
Tulizaliwa,kwa Sasa tunaishi na tutakufa siku moja,

Katikati ya kuzaliwa na kufa Kuna mengi tunapitia wewe Ukiwa mmojawapo
 
Yaani Mpwayungu Village maneno ya kidagaa (Imeisha iyoooo) umeweza kuyavumilia halafu kauli ndogo tu za wanazengo wa jamii forum unaleta makasiriko kweli
Yani Mpwayungu Village kama hutoleta muendelezo basi kauli ya mwamba mmoja aliyetaka kukupatia bint yake nitamshawishi asikupatie......
 
Asante sana kwa muongozo..na je zina hila? na dhahabu zao niza vikole ama?

Mana mwezi wa7 nataka nielekee huko nikafanye survey.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…