Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Ww kwenye mishe zako umeshasev milioni ngapi???tuanzie hapo kwanza....
 
Nakukubali kidagaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna story iliandikwa na holy holm , pamoja na maneno yote ya matahira wakatisha tamaa but jamaa aliimaliza. Mtoa mada zipo thread mtu hupaswi kusoma au kujibu kila comment lakini zipo unazopaswa kusoma comments zote.

Ukiamua kuandika story au mkasa wako epuka kusoma na kujibu comments.
 
"If you stop and start throwing stones to every dog that barks at you, you will never reach ur destination. NASEMA HV, ACHANA NA HAO MAPUNGUANI WANAOJIKUTA MUCH KNOW WAKATI HAWANA LOLOTE.

YEYOTE ANAEONA HII STORY N YA KUTUNGA BASI AKATAFUTE STORY YA KWELI AISOME. SIO LAZMA KUISOMA HII MAANA HUJAITWA
 
Sasa tufanye hivi,tuteue kikosi kazi cha watu wa5 cha kumlinda huyu jamaa dhidi ya wanaotaka kuchafua uzi wake,hiki kikosi kitakuwa kinatoa ulinzi wa kuulinda uzi mpka uishe bila mtoa story kuvurugwa....kikosi kitakuwa kinapiga spana mmvurugaji yyte atakaejitokeza mbele ya uzi kudhihaki,kuzodoa au kupinga.....pigwa spana za kutosha kama alizopigwa huyo chumaamegwa hapo juu mpk ajione yeye ni zaidi ya kiazi yaani,mtu harudii tena!


Me wa kwanza 👆
 
Ni kweli kabisa, ila lbda jamaa hana kifua cha kutunza maneno 🤔
 
Duh noma sana
 
Saa sita hii ya usiku usingizi hakuna, nakuja kuchungulia uzi pendwa, nakuta Mdau wa mkasa kasusa! &#$&$)/, unajua kila mwanaume/ mwanamke ana maseke yake anayopitia, watu wanaamua tu kula kucha, sababu ya uchoko wa dizaini kama unazokutana nazo, mtu anaamua tu kubisha jambo ambalo halijui zaidi ya kusoma tu, kama unaona umepigwa na kitu kizito we soma kwanza story yoote mpaka mwisho kisha leta ushahidi sasa kwamba mwamba kasimulia uwongo, lakini katikati ya simulizi unakuwa kama wewe ndo director wa mchongo haipendezi, okay, jamaa kagoma kuendelea sasa leteni za kwenu hapa hapa tuendelee wenyewe mama*e,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…