Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Umechambua vizri ...hata mimi najiuliza inamaana huyu jamaa maisha magumu yalianza tu baada ya kufukuzwa na msela wake really??? Any way Abu atupe highlights ya maisha yake kabla ya kuachana na rafiki yake ..... mbona baada tu ya kuachana na rafiki yake mambo yaliend kombo sana na alikuwa napiga mishe gani mpka akawa na balance ya 20k kabla ya kuuza simu
Ww kwenye mishe zako umeshasev milioni ngapi???tuanzie hapo kwanza....
 
Wapuuzi kama nyie ndommeacha nisiendelee na huu uzi tena badala ya kutoa fact nikupe ukweli lakini unaamua kupinga tu eti hivi visa ni uongo. Umeamua kuingia kwenye profile yangu kutafuta Mada nilizokuwa nikiweka baada ya kuziona nikajua wewe ni mdadisi na mtafiti mzuri tegemeo langu uje uulize sehemu yoyote yenye mashaka nikujibu lakini unamaliza mazima yani kuwa huu uzi ni uongo. Sawa acha iwe hivyo maana akili zako zimekutuma lakini kwakua mumeamua kusema sieleweki Mala nasema nipo chuo Mala nasema nimemaliza form six vyovyote vile hayo mm napokea. Ila naomba niongee machache na hapa siongei na wewe Bali ni wana jamii forum wote. Elimu ya Tanzania iko yaaina tatu naomba nitaje kwa kimombo, Kuna formal education, informal na non formal education sasa kueleza moja baada ya nyingine mda huo sina kwahiyo naweza kusoma mwaka huu nikamaliza darasa la saba nikapumzika hata miaka mitano kutokana na akili yangu inavyonituma baada ya hapo nikaenda kidato na nne nikamaliza nikakaa miaka matatu mitaani huwezi jua nini kilinipata, after then naenda kumaliza kidato cha sita maamuzi ya kwenda chuo ni mm mwenyewe. Sasa nakuomba nenda ukasome sehemu ya kwanza ya huu uzi utakuta mwaka niliokuwa natafuta shule za kufundisha ilikuwa ni 2020, halafu nenda kwenye post niliopost nikisema nipo chuo. Swali ni kwamba kama nimeishia form six 2020 je ilipofika 2021 nikaona ni bora niende tu chuo na sifa ninazo kwani siruhusiwi?. Sasa mimi nimeamua tu kuwaweka wazi sio kila kitu ni kupinga tena mnapinga upuuzi hamuulizi mkajibiwa ndio maana moyo ulisita kuendelea. Na kwakua umesema mm muongo basi hapa chini naambatanisha baadhi ya nyaraka, mimi ni mtu na akili zangu huwezi nipangia mwaka wa kwenda chuo wala sekondari. Ninaweza kusoma PGM chuo nikasoma hata human resource kama sifa ninazo mtu hanipangii, naweza kusoma PCB nisiende udaktari nikaenda kusoma certificate in primary education kutokana na malengo yangu. Usikalili maisha na utanichunguza ila hutafanikiwa na ndio maana tunatumia fake ID humu kwahiyo siwezi kuweka kila kitu wazi mpaka mtu avute hisia mwishowe ajue kumbe mwenye hii ID ni ALEX au SAMWELI. View attachment 2230523View attachment 2230524View attachment 2230525
Nakukubali kidagaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna story iliandikwa na holy holm , pamoja na maneno yote ya matahira wakatisha tamaa but jamaa aliimaliza. Mtoa mada zipo thread mtu hupaswi kusoma au kujibu kila comment lakini zipo unazopaswa kusoma comments zote.

Ukiamua kuandika story au mkasa wako epuka kusoma na kujibu comments.
 
Hapana kiongozi acha tu maana humu Kuna watu wanajiona ni mataita wakudadisi nakunya distinction ya kipi cha ukweli na kipi cha uongo basi mm nimewapa fursa hiyo wachunguze ikiwezekana wasafiri hata huko nilikopita. Huu uzi ulikuwa una sehemu mpaka ya 25 na hayo matukio niliyoeleza ni baadhi tu na nichamtoto maana nilitaka kueleza madhira niliyopitia mpaka ningekuja kueleza nimefikaje chuo lakini mtu anadandia treni kwa mbele. Na Leo sio kucheka na kufrahishana Bali nikukupa funzo kuwa Kuna watu wanapitia magumu mpaka shilingi ya kuchota ndogo moja kwa wiki haipati lakini tunapishana nao barabarani na huko mbeleni yaani sehemu ya kumi na tano na sehemu ya kumi na saba ambayo sijaweka humu kutokana na baadhi ya wapuuzi lilah Kuna mtu angetoa machozi kwa misukosuko iliyonipata. Namshukuru mungu ni mzima nawatakia jioni njema
"If you stop and start throwing stones to every dog that barks at you, you will never reach ur destination. NASEMA HV, ACHANA NA HAO MAPUNGUANI WANAOJIKUTA MUCH KNOW WAKATI HAWANA LOLOTE.

YEYOTE ANAEONA HII STORY N YA KUTUNGA BASI AKATAFUTE STORY YA KWELI AISOME. SIO LAZMA KUISOMA HII MAANA HUJAITWA
 
Sasa tufanye hivi,tuteue kikosi kazi cha watu wa5 cha kumlinda huyu jamaa dhidi ya wanaotaka kuchafua uzi wake,hiki kikosi kitakuwa kinatoa ulinzi wa kuulinda uzi mpka uishe bila mtoa story kuvurugwa....kikosi kitakuwa kinapiga spana mmvurugaji yyte atakaejitokeza mbele ya uzi kudhihaki,kuzodoa au kupinga.....pigwa spana za kutosha kama alizopigwa huyo chumaamegwa hapo juu mpk ajione yeye ni zaidi ya kiazi yaani,mtu harudii tena!


Me wa kwanza 👆
 
Kuna story iliandikwa na holy holm , pamoja na maneno yote ya matahira wakatisha tamaa but jamaa aliimaliza. Mtoa mada zipo thread mtu hupaswi kusoma au kujibu kila comment lakini zipo unazopaswa kusoma comments zote.

Ukiamua kuandika story au mkasa wako epuka kusoma na kujibu comments.
Ni kweli kabisa, ila lbda jamaa hana kifua cha kutunza maneno 🤔
 
Eti lushoto, Arusha na moshi ndo useme Kuna barid Sasa ya kuifananisha na njombe ??

Barid ya njombe ni habar nyingne asee na wilaya inayoongoza kwa baridi ni makete na ndo ulikozid Sana ukimwi
Kwahy hta Kam Kna sababu zingne ila barid nayo inachangia kwa kias kikubwa
Duh noma sana
 
Saa sita hii ya usiku usingizi hakuna, nakuja kuchungulia uzi pendwa, nakuta Mdau wa mkasa kasusa! &#$&$)/, unajua kila mwanaume/ mwanamke ana maseke yake anayopitia, watu wanaamua tu kula kucha, sababu ya uchoko wa dizaini kama unazokutana nazo, mtu anaamua tu kubisha jambo ambalo halijui zaidi ya kusoma tu, kama unaona umepigwa na kitu kizito we soma kwanza story yoote mpaka mwisho kisha leta ushahidi sasa kwamba mwamba kasimulia uwongo, lakini katikati ya simulizi unakuwa kama wewe ndo director wa mchongo haipendezi, okay, jamaa kagoma kuendelea sasa leteni za kwenu hapa hapa tuendelee wenyewe mama*e,
 
Back
Top Bottom